Kwa wanaume tu (vichwa vya familia)

Napitia comments....kuacha zile tabia zinazowakera wa kiume
Nikiwa kama baba wa nyumba, moja kabisa ni mke kukaribisha majirani kuja kuangalia TV ndani kwangu
Ya pili ni kujichubua au kuweka vitu bandia kwenye mwili mfano, wigi, kucha bandia, hereni kwenye K na mamekap yaliyozidi.
Ya tatu ni kushabikia mpira! Mwanamke kama unashabikia mpira pita mbali nami
Binafsi mimi napenda mwanamke asili kabisa, yaani hata wigi sipendi 💯💯

Ila baadaye nikafikiria, sometimes kuna ubize, emergency na hela mtu anashindwa kwenda kusuka.

Nikaona suala la wigi linaweza kusameheka mara moja moja
 
Lakini kuna wengine waelewa

Ila sasa kuna mmoja huko juu anasema hapendi mwanamke anayefuatilia mpira
Mie sijioni nikiacha kufuatilia mpira kwa kweli.....mpira na games ni mambo siwezi kuacha
sehemu tu ya michezo kama mengine kwa nini uache jomon.. 😁
 
Lakini kuna wengine waelewa

Ila sasa kuna mmoja huko juu anasema hapendi mwanamke anayefuatilia mpira
Mie sijioni nikiacha kufuatilia mpira kwa kweli.....mpira na games ni mambo siwezi kuacha
Labda anamaanisha kuwa shabiki lia lia kama Steve Yanga 🤣🤣
 
1. Kutokutekeleza wajibu wake; Yaani mimi nafafanya majukumu yangu kwa kuleta/kutoa all basic needs za familia kwa wakati icluding na zake muke, halafu yeye vitu vidogo tu kama kunyoosha nguo zangu kwa wakati anashindwa yaani huwa nachukia balaa, uzuri huyu wangu akiona siko sawa anajishtukia anarekebisha faster alipokosea, kama ni nguo nitakuta kapiga pasi hadi soksi.

2.Kutokutoa kipochi manyoya kwa wakati pale ninapokua nakihitaji, hii kitu mkuu huwa inanifedhehesha sana, ukizingatia kwamba mwaka huu nimejiwekea lengo la kutokuchapa nje mpaka pale mauti itakaponikuta yaani ndio nataabika zaidi nakuzidi kuwaza nilikokua.

NB: Binadamu hachungwi. Upendo & Uvumilivu ndio msingi wa ndoa njema.
 
Hakuna mwanamke bila mwanamume
Tabia zote mbaya za mwanamke zimesababishwa na mwanamume
Mwanamume ninayemzungumzia hapa ni yule wa zamani sio hawa wavaa milegezo
Enzi hizo ndio kulikuwa na wanaume na ndio waliosababisha tabia mbaya kwa wanawake.
Unachokiona sasa kwa mwanaume na mwanamke ni matokeo ya wale wa zamani.... tatizo halikuanza leo. Sidhani kama nitaeleweka hapa!
nitarudi
 
Mwanamke kupenda kusema Mambo yenu kwa mashosti wake,

Kupenda kulinganisha maisha ya watu wengine na yenu

Mpenda uzungu Sana, maisha ya kufikirika zaidi, et mboga za majani zinanikaba Koo, kila siku nyama, mishkaki,chips,

Kupenda vyakula vya nje kuliko kupika

Tabia ya uchafu, mtu kamka asubuhi yupo yupo tu hapigi mswaki kwa wakati, haogi kwa wakati, kurunda minguo kibao michafu
 
Lakini kuna wengine waelewa

Ila sasa kuna mmoja huko juu anasema hapendi mwanamke anayefuatilia mpira
Mie sijioni nikiacha kufuatilia mpira kwa kweli.....mpira na games ni mambo siwezi kuacha
Shida sio kushabikia mpira shida ni kushabikia Utopolo FC! Universidad de Chura 😂😂😂
Lazma nikupige BAN
 
Back
Top Bottom