Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,466
Pole hzo Kama Ni tabia za mkeo kwa kifupi unalazimisha kupendwa na hupendwi1. Tabia ya kuninunia bila sababu.
2. Tabia ya kukata a kuoga nami bafuni
3. Tabia ya kukataa kuongozana nami popote.
Tabia iliyo mbaya kuliko zote kutonipigia magoti anaposalimiana nami ama kunikaribisha chakula yaani full dharau muda wote.
Sent using Jamii Forums mobile app