Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

miss neddy kwahiyo we unataka direct kwenye point.
Je nikiku-pm hivi itanijibuje.


Hi,
Miss neddy.

Nakusalimia sana,ingawa ni mara yangu ya kwanza kuja pm kwako ila nimevutiwa sana
na michango yako JF,umeuvutia sana moyo wangu,naomba japo niwasiliane na wewe ili moyo
wangu uridhike,if you don't mind nipe ur cellephone number.
I love you much.
Hi Viol
ahsante nashukuru kwa kuvutiwa na michango yangu lol mi natumia zaidi p.o box 889 ila kwa matatizo yako ya moyo nakuelekeza kwa dokta anaitwa asakuta same
 
Last edited by a moderator:
Hi Viol
ahsante nashukuru kwa kuvutiwa na michango yangu lol mi natumia zaidi p.o box 889 ila kwa matatizo yako ya moyo nakuelekeza kwa dokta anaitwa asakuta same
Nashukuru sana kwa kunijibu maana sikutegemea.
Ila hunitendei haki unaponinyima namba,naomba nisaidie namba yako
japo nisikie sauti yako mpenzi
 
dah, inabidi nianze twisheni ya kupiga voko, nilikuwa nashangaa kila nikitupia "hai" kimyaaa, "hai"...wapi!

watu kama wewe siwezi kuwachinjia baharini ipo siku nitahitaji ufafanuzi kuhusu online shops lol
 
Nashukuru sana kwa kunijibu maana sikutegemea.
Ila hunitendei haki unaponinyima namba,naomba nisaidie namba yako
japo nisikie sauti yako mpenzi

piga 112
 
ni kawaida kama ndo mara ya kwanza mnaanza kuget along kutext Hi!, hallo! Nk. Then mnaanzia hapo
 
Kwani wewe humu unafanya biashara gani mpaka watu wanakupm namna hiyo?
 
na hizi HI nahisi huwa ni PM Testing kucheki kama pm zinafanya kazi vuzuri
 
Back
Top Bottom