Hi!!!!!!!!!!!!!! leo naona Hi haitaki tutatafuta gia nyingne ya kuingilia usijaliHi wana MMU hii inawahusu ME tu ukiona sijajibu pm yako ujue sababu ni hizi:
1) umeandika pm fupi mnooo mwingine anaandika HI anategemea ukishajibu Hi ndo aaanze kujieleza time is money ndugu zangu toa hi then go straight to the point niko busy sana ukijibu hi afu ndo nikupe muda wa kujieleza .
2) Hapa ukiona sijajibu pm yako ujue ID yako sijawahi kuiona popote ndani ya JF (ngeni) huwezi kunipm from no where sitakuamini kwa kweli kwa sababu JF ni msitu halafu kuna mambo ya multiple id's lazima niogope.
3) Sababu ya mwisho ukiona sijajibu pm yako jua nimeangalia profile yako na michango yako haijaniridhisha kuna wale wenye jinsia za utata leo me kesho ke na mengine chungu nzima.
Nimelazimika kusema kwa sababu mnanijazia page za pm yangu ukijiona hayo matatu yanakuhusu usijisumbue
NB
IDzote za me zinazozijua kwa kina nyie hamuhusiki hapa pamoja na shemeji zangu wote na watani zangu wote.
nashangaa Viol anakupigia cm miss hupokei,au cjui ndo umepokea huongei..prrr...prrrr....prrrr
hallow
Hi!!!!!!!!!!!!!! leo naona Hi haitaki tutatafuta gia nyingne ya kuingilia usijali[/QUOTE
Mme wangu wa zamani upogo? Yani full kukumiss
nini hiyo shem umeniacha sikupati kabisa
Hi!!!!!!!!!!!!!! leo naona Hi haitaki tutatafuta gia nyingne ya kuingilia usijali[/QUOTE
Mme wangu wa zamani upogo? Yani full kukumiss
wa zamani???????
Kwani umeshatafuta mwingine kusafiri mwezi mmoja tuuuuu?Hi!!!!!!!!!!!!!! leo naona Hi haitaki tutatafuta gia nyingne ya kuingilia usijali[/QUOTE
Mme wangu wa zamani upogo? Yani full kukumiss
Bora umenisaidia kuuliza maana kuna harufu ya damu hapawa zamani???????
Nimeku-PM!
mtoto unanata
The Black Eyed Peas-I got feelingmwanamke maringo sunna
najisikia vizuri sana asante kwa maombi shemafya yako shemegi, je imeimarika sasa...?
ananata huyu mtoto hapananashangaa Viol anakupigia cm miss hupokei,au cjui ndo umepokea huongei..
wa zamani???????
Ndio, mana amenitelekeza sijui mwezi wa ngapi sasa huu sipewi huduma wala yeye simuoni nyumbani
Kwani umeshatafuta mwingine kusafiri mwezi mmoja tuuuuu?
Nimeshindwa kuvumilia aisee nataka nitafute liwazo
najisikia vizuri sana asante kwa maombi shem