Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

Ni kweli si kila mtu akikuandikia lazima ajibiwe mengine unapotezea tu na wala sio lazima kutoa ufafanuzi wa jumla, unameza pini kiaina.

cc miss neddy
 
Last edited by a moderator:
du makavu live, ayaa miss neddy, umenipa somo MankaM nakuja pm huko naenda moja kwa moja kwenye pointi, usinizingue kutokujibu, na wewe ukikakaa kimya naenda kwa ICHANA akanichane live. ila Malaika mimi atanielewa tu. ila kumbe pm kuna mengi yanaendelea.poleni sana, mimi nasubiria pm za ke nitazijibu fasta.
 
hahahaha afu weweee zuga tu hapa ile issue nakudai bado lol
 
Last edited by a moderator:
Hi wana MMU hii inawahusu ME tu ukiona sijajibu pm yako ujue sababu ni hizi:

1) umeandika pm fupi mnooo mwingine anaandika HI anategemea ukishajibu Hi ndo aaanze kujieleza time is money ndugu zangu toa hi then go straight to the point niko busy sana ukijibu hi afu ndo nikupe muda wa kujieleza .

2) Hapa ukiona sijajibu pm yako ujue ID yako sijawahi kuiona popote ndani ya JF (ngeni) huwezi kunipm from no where sitakuamini kwa kweli kwa sababu JF ni msitu halafu kuna mambo ya multiple id's lazima niogope.

3) Sababu ya mwisho ukiona sijajibu pm yako jua nimeangalia profile yako na michango yako haijaniridhisha kuna wale wenye jinsia za utata leo me kesho ke na mengine chungu nzima.

Nimelazimika kusema kwa sababu mnanijazia page za pm yangu ukijiona hayo matatu yanakuhusu usijisumbue

NB
IDzote za me zinazozijua kwa kina nyie hamuhusiki hapa pamoja na shemeji zangu wote na watani zangu wote.

kwahio sisi ambao hujui IDs zetu na HATUJAWAHI KUKU-PM TUNAHUSIKA???!!! inaonyesha huwa wanajaa sana huko PM hadi unakuja kutoa thread!!! hongera.
 
kwahio sisi ambao hujui IDs zetu na HATUJAWAHI KUKU-PM TUNAHUSIKA???!!! inaonyesha huwa wanajaa sana huko PM hadi unakuja kutoa thread!!! hongera.
hahaha
nastahili pole si hongera wanachosha
 
Mi sitakuPM Wala sijawahi kukuPM,
Recall:last sentence on the para
 
miss neddy wifi yako kafunga PM yake hataki usumbufu na mijusi ya humu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom