kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,493
- 18,386
nipo shem ile issue hata me niliona haijakaa vyema waweza buni wazo jipya
ha ha ha kwa hiyo vile visingizio vilikuwa vya deshi deshi?
nilikalishwa chini na kupewa somo zuri nililolielewa vizuri.. mke wangu shansarie yuko vizuri sana.
thats why i love her deeply
Last edited by a moderator: