Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
- Thread starter
- #381
naiona mkuu, mwambie aage kabisa yule jamaa wa kikuria sijui kaishiwa makali?
kiwatengu excel hajaishiwa makali bhana
naiona mkuu, mwambie aage kabisa yule jamaa wa kikuria sijui kaishiwa makali?
Hahahhaha sijui mkuu, ila kwa upande wangu nina mpango hai kabisa na unapumua vizuri
aisee nafurahi kukuona hapa :couch2:
jambo jema hili..engagement Uhuru Peak
Hahahhaha sijui mkuu, ila kwa upande wangu nina mpango hai kabisa na unapumua vizuri
Hahahhaha sijui mkuu, ila kwa upande wangu nina mpango hai kabisa na unapumua vizuri
Haswaaaaa najiweka sawa tu mkuu naona kila kitu kipo vizuri
Mhhhh?????
hahaha huna id zaidi ya moja
Mi ndo kabisaaa tena haswa kwa wadada huwa sina habari
ha!! ha!! ha!! ha!! ha!!Hi wana MMU hii inawahusu ME tu ukiona sijajibu pm yako ujue sababu ni hizi:
1) umeandika pm fupi mnooo mwingine anaandika HI anategemea ukishajibu Hi ndo aaanze kujieleza time is money ndugu zangu toa hi then go straight to the point niko busy sana ukijibu hi afu ndo nikupe muda wa kujieleza .
2) Hapa ukiona sijajibu pm yako ujue ID yako sijawahi kuiona popote ndani ya JF (ngeni) huwezi kunipm from no where sitakuamini kwa kweli kwa sababu JF ni msitu halafu kuna mambo ya multiple id's lazima niogope.
3) Sababu ya mwisho ukiona sijajibu pm yako jua nimeangalia profile yako na michango yako haijaniridhisha kuna wale wenye jinsia za utata leo me kesho ke na mengine chungu nzima.
Nimelazimika kusema kwa sababu mnanijazia page za pm yangu ukijiona hayo matatu yanakuhusu usijisumbue
NB
IDzote za me zinazozijua kwa kina nyie hamuhusiki hapa pamoja na shemeji zangu wote na watani zangu wote.
ha!! ha!! ha!! ha!! ha!!
niache nicheke kwanza......................!!!
sasa miss neddy wenzio wanaku "pm" wewe unasema hadharani unaonaje ungewajibu kwa njia ya "pm" "pm"
Nijukishe hali yako tafadhali
mmmh..au kwa kuwa nanihii yupo Chadema basi na wewe ukawa Chadema...Hata mpira huwa mpo club moja...siku likibuma hakuna wa kutoa pole kwa mwenzake...ila kapotea humu??
msalimie mkeo
me ndo unaepaswa unisikilize nampenda sana excel wangu
utafiti kesho job nenda kalale stop it