Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

mna watoto au mtoto..?..

kama jibu ni hapana, binafsi sipendi kunyanyasika ningeondoka kimya kimya na kwenda ninakojua mimi naanza kivingine..namaanisha kimyakimya bila taarifa...
Tuna watoto na ukisema nisepe watoto watateseka, kuna kipindi nilifikiria kusepa lkn lilipokuja suala la watoto ikabidi niwe mpole. Napitia kipindi kigumu sn

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hawa viumbe kuishi nao tabu sana,mnaolalamika kaeni mjue kwamba hawa hawakuumbwa waje kulisha watu nje ya damu zao....i mean,mf:akizaa mtoto atamuhudumia 100% uwezo akiwa nao,baba/mama yake (damu yake halisi) atawahudumia kwa 100% bila kulalamika ila kukutunza wewe uliyekaa naye akiwa goli kipa hata miaka kumi hujawahi kumfanyia vituko hawezi.

Omba Mungu akusimamie ktk utafutaji wako ufanikiwe huyo akiendelea kuleta dharau na majivuno fukuza uanze upya siyo dhambi.
Asante kwa ushauri, yaani ambao hawakupitia hizi changamoto wasiombe ziwakute

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Tuna watoto na ukisema nisepe watoto watateseka, kuna kipindi nilifikiria kusepa lkn lilipokuja suala la watoto ikabidi niwe mpole. Napitia kipindi kigumu sn

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app

kama kuna watoto hapo panahitaji hekima nyinyine, kuwa mtulivu pambana kwa bidii zote usiku na mchana urudishe heshima, ifanye hiyo changamoto kama ndio msukumo kwako..
 
Tatizo huwa sio mke, tatizo ni pale atakapoacha kukusikiliza aanze kusikiliza wapambe ndugu jamaa na marafiki.

Ukifanikiwa kumfanya akusikilize wewe na ukakata network zote utajikuta unarudi relini.

Jitahidi basi Hata kubeba zege mkuu maana Kuna raha kuhudumia mke. Hata matatizo ya dunia yalianza siku Eva alipomletea Adam chakula
 
Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.

Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu hasa wa kiafrika imezoeleka kwamba wanaume ndio watafutaji na ndio watunza familia.

Back to the topics, kufuatia sera mbovu za uchumi za mwenda zake watu wengi nikiwemo mie turifurushwa makazini na kupelekea ajira kuwa changamoto sasa basi mke wng ndio alichukua jukumu la kuendesha familia ili siku zisonge.

Sio kwamba Mimi nilibaki tu hom kumsubili wife alete hapana nilikuwa naingia kitaa na mm Ku hustle ili nisikae kindezi na kuonekana mpenda kitonga, lkn kama mnavyojua kitaani sio kwa mchezomchezo kitaa kigumu kinyama,

Kila deal unalojaribu linabuma, ingia kwenye umachinga na kitambulisho changu cha elfu20 napo hamna kitu, basi maisha yakawa ni tyt ile mbaya japo mtoto wa kiume nikawa najipa moyo kwamba 1day nitatoboa tu na life litakuwa normal.

Sasa turudi kwa upande wa mke wng at first my wife wangu alikuwa ndio comfort wng akinipa moyo kwamba yupo pamoja nami na ataweza kuhandle changamoto ninazopitia, kiukweli na Mimi ni shahidi wife ali play part yake kwa kiwango fulani, maji nilikuwa nawekewa bafuni, boksa nanunuliwa, mbususu nilikuwa naichakata kila ninapohitaji, na vitu vingine vingi siwezi kuweka vyote hapa ambavyo mtoto wa kiume alistahili kupata kutoka kwa mwanamke.

Sasa wajuba naona mambo yamebadilika sio kama zamani my wife wangu ame change to the extent nahisi atakuwa amenichoka na kuniona takataka mbele ya jamii,

Kwanza ile heshima kama mume ndani ya nyumba siioni tena, maji sikumbuki Mara ya mwisho kuweka ilikuwa lini, akirudi kutoka kazini ananikuta nipo sebleni nimeshika remote, kwanza hanisalimii atapitiliza moja kwa moja chumbani akija sebleni anachukuwa remote na kuweka kipindi anachotaka yeye na anapiga bit ole wake mtu abadilishe.

Kipindi chenyewe haangalii anenda zake jikoni huko tena ataanza kufoka mbona glass haijaoshwa, kijiko kipo chini, dirisha hujafunga, chakula mbona kimebaki kidogo mtoto wa kike anafoka na uso umemvimba utasema nyoka aina ya koboko amemeza simbilisi.

Kwakuwa hatuna house girl kazi zote nafanya mie ikiwemo kufua nguo zake, hadi za ndani nafua mie, kuna wkt nikifua nakuta vitone kwenye chupi najiuliza nn hiki lkn napotezea tu yy ndio kashika mpini mm sina vyangu, mbususu sipewi na nikipewa kwa masharti mpaka yy siku hiyo ajiskie, asipo jiskia miezi inaweza kukatika na usipewe harafu nikitaka kuchepuka nashindwa sijui kaniroga huyu.

Kwa kweli mambo ni mengi na visa ni vingi ukurasa huu hauwezi kutosha kuelezea, vijembe vimekuwa ndio wimbo wa Taifa siku akiwa nyumbani ,akiwa jikoni huko mm nipo sebleni anaongea na mwenzie kwenye simu, ........ningekuwa na uwezo ningemuoa mimi, mara utaskia lipolipo tu kama ling'ombe bora ng'ombe unapata maziwa na nyama, hujakaa vizuri utaskia yaani we na mista wako couple yenu nimeikubali sn huku wakicheka kicheko chao cha umbea,

Swali kwa wanaume wenzangu je mlitumia njia gani kwanza kuwa handle wanawake wa aina hii na mliwezaje kuhandle situation hii na baadae kuja kutoboa na heshima ikarudi kama zamani, angalizo kumpenda bado nampenda kwani tuna watoto na sitaki familia yangu isambaratike,

Nakaribisha ushauri mzuri tu mbaya baki nao.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Ukweli ni kuwa You can't handle them kipindi kama hilo..... Bali ukweli ni huu kwa wanaume wote.
Ukipoteza hiko kinachokuingiza kupato Sasa hivi iwe kazi biashara etc jua na mwanamke atakukimbia haijalishi atakupa maneno gani matamu ya kukufariji hapo mwanzo but jua she will left na kama hata ondoka then hakuna rangi ya dunia hii utaacha kuona. You will live hell in earth.
So njia pekee ya kiumbe huyu akianza kufanya anayo fanya ni kulala mbele ukaanze 1 mwenyewe basi coz then next step itakayofuata Utaanza kuletewa wanaume na utawaona kwa macho yako and you will have nothing to do or to tell her.......na yote hayo atayafanya ili UFE MAPEMA....... na the truth is YOU WILL DIE BEFORE HER sababu ya stress atazokupa maana hawa Wana degree za kukera.
 
Jinsi wife wako anavyokuona akirudi kutoka job🐒👇

images (3) (10).jpeg
images (3) (11).jpeg
 
Pole Sana kumbuka kupiga goti mtafute Sana Mungu muweza wa yote
Hiki nikipindi cha mpito .
Yaani kama kusali na sali sn ndugu yangu hadi yale maombi ya usiku wa manane nasali, na kufunga lkn naona msala bado upo upande wng

Vipindi vyangu vya Tv zamani vilikuwa ni eatv, wasafi, dizzim, channel 10+, na trace muzik, yaani mda wote ni mangoma tu lkn sasa hivi naangalia vipindi vya akina mwamposa, suguye, Emmanuel tv, na vipindi vingine vya dini ili niwe karibu na mungu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
kama kuna watoto hapo panahitaji hekima nyinyine, kuwa mtulivu pambana kwa bidii zote usiku na mchana urudishe heshima, ifanye hiyo changamoto kama ndio msukumo kwako..
Atakufa huyu na hata hao watoto hata waona wakikua. Hivi MNAJUA mwanamke akishafika hii step kinachofuata ni kuhakikisha unakufa mapema. Unataka kwenye msiba Wako waseme umekufa kishujaa kWa kukaa na kiumbe kama huyo. Huo ni Upuuzi.
 
Tatizo huwa sio mke, tatizo ni pale atakapoacha kukusikiliza aanze kusikiliza wapambe ndugu jamaa na marafiki.

Ukifanikiwa kumfanya akusikilize wewe na ukakata network zote utajikuta unarudi relini.

Jitahidi basi Hata kubeba zege mkuu maana Kuna raha kuhudumia mke. Hata matatizo ya dunia yalianza siku Eva alipomletea Adam chakula
Asante kwa ushauri wako, nahisi pia ndugu zake wanamchango mkubwa ktk kubadilka kwake labda wananiona marioo siwezi tena kuwa msaada kwa ndugu yao

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Atakufa huyu na hata hao watoto hata waona wakikua. Hivi MNAJUA mwanamke akishafika hii step kinachofuata ni kuhakikisha unakufa mapema. Unataka kwenye msiba Wako waseme umekufa kishujaa kWa kukaa na kiumbe kama huyo. Huo ni Upuuzi.
Mbona unanitisha sasa inamaana anaweza kuniua?

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Yaani kama kusali na sali sn ndugu yangu hadi yale maombi ya usiku wa manane nasali, na kufunga lkn naona msala bado upo upande wng

Vipindi vyangu vya Tv zamani vilikuwa ni eatv, wasafi, dizzim, channel 10+, na trace muzik, yaani mda wote ni mangoma tu lkn sasa hivi naangalia vipindi vya akina mwamposa, suguye, Emmanuel tv, na vipindi vingine vya dini ili niwe karibu na mungu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Ok kuwa na mawazo chanya juu yake na sio hasi
 
Back
Top Bottom