iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,240
- 7,816
Sawa mkuu..ila kila mtu anajiongeza kulingana na uwezo wake mkuu
Sent from my Infinix X5514D using Tapatalk
Sawa mkuu..ila kila mtu anajiongeza kulingana na uwezo wake mkuu
Mkuu Card ya Equity Bank uliipatia Tanzania hapa hapa?? Maana hilo swala la verification ni muhimu kweli kuna kipindi nilifungua fake US Paypal ikawekewa limit ya kutoa hela bahati nzuri kulikuwa hamna hela nyingi.Unaweza link na Card ya Equity Bank na ikawa full Verified na limitless kupokea $, niliwahi kufanya ivo kwenye paypal acc yangu ya kwanza kabisa ya Kenya.... Lakini kwasasa mimi ni muda natumia ambayo haiko verified na inafanya kazi kama kawa...
Sent from my Infinix X5514D using Tapatalk
Mbona vodacom na tigo pia unaweka salio na kulipia kupitia playstore, au malipo yapi? Manake hizi card za benki pia zinalipia bila shidaInahusika sana na Online payment kulingana na za hapa nyumbani kukosa vigezo
Naona unaanzisha thread na kujipongeza mwenyewe.
Asante Sana Bro Tomaa Kwa Moyo Wako Mzuri Wa Kutusaidia Kuendelea Kuwa Name Urahisi Wa Upatikanaji Wa Huduma Za Kitechnologia. Hasa Zaidi Juu Ya Upatikanaji wa Hizi Line Za Safaricom Hakika Zinanisaidia kwa Mambo Mengi Sana Ikiwemo #Kutoa na Kupokea PESA PAYPAL, #Kutuma na Kupokea PESA Mpesa, Pia Bonus za Vocha Ya Mpaka 1000Ksh Hakika Safaricom Inanisaidia.
Asante Sana Mister Tomaa Pia Zile Line 7 Nyingine Nimezipata pia Thanks Sana.
Kikubwa kinacho ongelewa kwenye hiyo line ya safaricom ni uwezo wake wa kukuwezesha wewe mtumiaji kupokea malipo kutoka popote pale duniani kwa njia ya paypal.Mbona vodacom na tigo pia unaweka salio na kulipia kupitia playstore, au malipo yapi? Manake hizi card za benki pia zinalipia bila shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe unaijua play store tu basi? Play store kuna simu zinazouzwa huko? Kuna accessories za simu?? Akili kichwani mwako.Mbona vodacom na tigo pia unaweka salio na kulipia kupitia playstore, au malipo yapi? Manake hizi card za benki pia zinalipia bila shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za humu?
Kwa wale wanaohitaji line za Safaricom zimefika na mpaka sasa zimebak 7 tu(wahi sasa)
Line 1 ni 10000 ikiwa na vocha ya Ksh 20.
Kama upo mkoa utatumiwa kwa gharama zako.
Kwa wale wanaohitaji tuchekiane 0625547181 au telegram @TomaaMireni.
Kama bado hujajua kazi yake kwa hapa Tanzania njoo telegram group SmatSkills
Kwa wale ambao tayari mnatumia karibuni kuelimisha wengine. Asanteni
Ukitukanwa unapungua kilo?Inasajiliwaje na TCRA? Au ndio wale wengine wanatukana na kupost uchochezi WhatsApp kwa namba za nje ya TZ kumbe usajili wake magumashi?
Tuwe na tahadhari
Hahahaaaa...
Iko full registration mzee
Aya poa... unanunua ili upoteze? kupotea ni tukio lisilotarajiwa... kumbuka ile ni njia ya miamala yako tu. Kama ni njia ina mana unaweza kubadilisha kama haipitiki. For more info... follow us
Yeah! Me nilifungua hapa hapa TZ, Mwanza.. Ni 10k tu ndani ya lisaa unapata Card yako na ni automatic enabled na online transactions,,, Huitaji sijui ku activate kama kina CRDB...Mkuu Card ya Equity Bank uliipatia Tanzania hapa hapa?? Maana hilo swala la verification ni muhimu kweli kuna kipindi nilifungua fake US Paypal ikawekewa limit ya kutoa hela bahati nzuri kulikuwa hamna hela nyingi.
Nipo dar hyo line naipataje??Line zimebaki 10 tu...
Ukichelewa utasubiri sana mpaka mwezi wa nne
Asanteni karibuni