Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
2,330
2,283
Habari za humu?
Kwa wale wanaohitaji line za Safaricom zimefika TZ karibuni sana mana huwa zinakuja chache na kama zikiisha huwa zinachukua kuja tena(wahi sasa)


Line 1 ni 10000 ikiwa na vocha ya Ksh 20.
Kama upo mkoa utatumiwa kwa gharama zako.
Kwa wale wanaohitaji tuchekiane +255 787 649 797 au telegram @abuukhan.
Kama bado hujajua kazi yake kwa hapa Tanzania njoo telegram group SmatSkills
Kwa wale ambao tayari mnatumia karibuni kuelimisha wengine.
1103437

Kwa ufupi faida na kazi ya hizi line
1. Kujiunga na PayPal inayopokea pesa
2. Wallet karibu zote online kama PayPal, Skrill
3. 1Xbet ya KE (habari ya mjini hapa TZ kwa sasa)
Ukiwa Safaricom simcard ondoa stress kwenye transaction zote online.

Kama unabet nje especially 1Xbet,kama unatrade forex,kama unataka kufanya miamala yeyote nje na ndani hupaswi kuikosa hii.
Kwa msaada zaidi kuzihusu karibu kwenye group letu telegram Safaricom Simcard

1103440
 
Habari za humu?
Kwa wale wanaohitaji line za Safaricom zimefika na mpaka sasa zimebak 7 tu(wahi sasa)
Line 1 ni 10000 ikiwa na vocha ya Ksh 20.
Kama upo mkoa utatumiwa kwa gharama zako.
Kwa wale wanaohitaji tuchekiane 0625547181 au telegram @TomaaMireni.
Kama bado hujajua kazi yake kwa hapa Tanzania njoo telegram group smatskills
Kwa wale ambao tayari mnatumia karibuni kuelimisha wengine. Asanteni

Asante Sana Bro Tomaa Kwa Moyo Wako Mzuri Wa Kutusaidia Kuendelea Kuwa Name Urahisi Wa Upatikanaji Wa Huduma Za Kitechnologia. Hasa Zaidi Juu Ya Upatikanaji wa Hizi Line Za Safaricom Hakika Zinanisaidia kwa Mambo Mengi Sana Ikiwemo #Kutoa na Kupokea PESA PAYPAL, #Kutuma na Kupokea PESA Mpesa, 😋Pia Bonus za Vocha Ya Mpaka 1000Ksh Hakika Safaricom Inanisaidia.

Asante Sana Mister Tomaa Pia Zile Line 7 Nyingine Nimezipata pia Thanks Sana.
 

Asante Sana Bro Tomaa Kwa Moyo Wako Mzuri Wa Kutusaidia Kuendelea Kuwa Name Urahisi Wa Upatikanaji Wa Huduma Za Kitechnologia. Hasa Zaidi Juu Ya Upatikanaji wa Hizi Line Za Safaricom Hakika Zinanisaidia kwa Mambo Mengi Sana Ikiwemo #Kutoa na Kupokea PESA PAYPAL, #Kutuma na Kupokea PESA Mpesa, Pia Bonus za Vocha Ya Mpaka 1000Ksh Hakika Safaricom Inanisaidia.

Asante Sana Mister Tomaa Pia Zile Line 7 Nyingine Nimezipata pia Thanks Sana.
Pamoja sana,hadi Lindi nimetuma leo
 
Za nini sasa?
Kama wewe ni mtu wa online business na unapokea malipo yako kupitia PayPal basi laini ya Safaricom ni muhimu kwa sababu ukiwa nayo unaweza fungua PayPal ya Kenya na ukalink na M-pesa ya Safaricom na utakuwa unaweza kutoa pesa kutoka PayPal kwa muda usiozidi masaa mawili tu! Binafsi ninayo na natumia! Inanisaidia sana...
 
Inasajiliwaje na TCRA? Au ndio wale wengine wanatukana na kupost uchochezi WhatsApp kwa namba za nje ya TZ kumbe usajili wake magumashi?
Tuwe na tahadhari
Inakuaga imesajiriwa kabisa full registration kule kule Kenya tena kwa National ID, Na number za ID unapewa/zmeandikwa kwenye registration form baada ya kukamilisha usajiri wake.. Swala la kutumia WhatsApp kusumbua watu hii ni mtu mwenyewe na matatizo yake au akiri zake! Sidhani kama ndio matumizi yake hayo..
 
Inasajiliwaje na TCRA? Au ndio wale wengine wanatukana na kupost uchochezi WhatsApp kwa namba za nje ya TZ kumbe usajili wake magumashi?
Tuwe na tahadhari

Achana na akili za ki-ccm hizo. Watu wanafikiria namna ya kurahisisha kupokea fedha na kulipia vitu au huduma (kwa kuwa mazingira ya hapa sio rafiki) wewe unafikiria kutukana na hicho mnachokiita uchochezi!
 
Back
Top Bottom