Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Achana na akili za ki-ccm hizo. Watu wanafikiria namna ya kurahisisha kupokea fedha na kulipia vitu au huduma (kwa kuwa mazingira ya hapa sio rafiki) wewe unafikiria kutukana na hicho mnachokiita uchochezi!
Utapeli mtupu unauziwa line jina la usajili Vicent Githuku. Siku unaweka pesa wakenya wanafyonza mapema asubuhi. Na huna Cha kumfanya, maana jina sio lako.
NB: vijana fanyeni kazi.
 
Utapeli mtupu unauziwa line jina la usajili Vicent Githuku. Siku unaweka pesa wakenya wanafyonza mapema asubuhi. Na huna Cha kumfanya, maana jina sio lako.
NB: vijana fanyeni kazi.
Hizi nazo kazi pia au unahisi kazi ni kuzibua vyoo tu
 
Hizi nazo kazi pia au unahisi kazi ni kuzibua vyoo tu
Mkuu waswahili wanasema usimuamshe aliye lala maana utalala wewe. Watu wengine always wapo negative tu.

Mimi kuna kahela nimefanya kazi sehemu nataka kuwithdraw kuna option ya Paypal na Coinbase tu sasa Paypal ndio naona best option sasa wanakuja walimwengu hapa jukwaani wanaongea vitu duuuh mtu unabaki unashangaa tu huku unacheka kimya kimya.
 
Back
Top Bottom