Troyes
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 1,284
- 1,027
habari mkuu vipi bado line zipo nahitaj moja ,kama zipo naomba unijuze nakupataje ili kesho nije kuchukua
Mzigo umeingia jana. Karibuni sana
Kwa maelezo zaidi rejea uzi juu..View attachment 1021339View attachment 1021340
Sent using Jamii Forums mobile app
uafanya biasara halafu unataka tukubembembeleze kujua matumizi yake?...pole!Habari za humu?
Kwa wale wanaohitaji line za Safaricom zimefika na mpaka sasa zimebak 7 tu(wahi sasa)
Line 1 ni 10000 ikiwa na vocha ya Ksh 20.
Kama upo mkoa utatumiwa kwa gharama zako.
Kwa wale wanaohitaji tuchekiane 0625547181 au telegram @TomaaMireni.
Kama bado hujajua kazi yake kwa hapa Tanzania njoo telegram group SmatSkills
Kwa wale ambao tayari mnatumia karibuni kuelimisha wengine. Asanteni
Sijakuelewa?uafanya biasara halafu unataka tukubembembeleze kujua matumizi yake?...pole!
Serikali ya TZ ijirekebishe iruhusu Paypal kama Kenya.Serikali ingilieni Kati ufirauni huu Safaricom na Tanzania wapi na wapi?
Yap bila kujiongeza mzee utapitwa na mengi sana. PayPal ni world wide afu eti bongo haifanyi kaz...mambulula wasiojielewa ndio wageni kwenye hizi mambo. Jitu lina simu ya laki 5 lakini kwa ajili ya kuchat ujinga tu,hata kugoogle PayPal ni nini hawezi anakuja kupayuka ovyoS
Serikali ya TZ ijirekebishe iruhusu Paypal kama Kenya.
Tunakosa fursa nyingi za kibiashara. Binafsi napata tenda za kuwatengenezea system ya kupokea malipo online kwa paypal watu wa biashara ya utalii inashindikana.
Nataka kuuza kazi zangu hadi nje kama freelancer malipo kwa paypal inashindikana.
Serikali inaweza kukysanya kodi fedha za kigeni ikijipanga ktk hili.
CC: Mh. Magufuli, Governor Luoga, Philip Mpango.
sijui ni lugha au ni kichwa changu,hapa umemaanisha nini mkuuuafanya biasara halafu unataka tukubembembeleze kujua matumizi yake?...pole!
Ukishajipatia line yako safaricom tuwasiliane nikuuzie samsung galaxy s6 edge + brand new kwa 450k call 0788318770View attachment 1027905
Sent using Jamii Forums mobile app
Kungepatikana watu wa ku-push enzi za Muungwana JK, ingewezekana kabisa lakini leo hii ambapo JPM kila mtu anamuona mwizi kasoro yeye na Daud tu; sio kazi ndogo serikali hii kuwashawishi!Serikali inaweza kukusanya kodi fedha za kigeni ikijipanga ktk hili.
CC: Mh. Magufuli, Governor Luoga, Philip Mpango.