Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Asante Sana Bro Tomaa Kwa Moyo Wako Mzuri Wa Kutusaidia Kuendelea Kuwa Name Urahisi Wa Upatikanaji Wa Huduma Za Kitechnologia. Hasa Zaidi Juu Ya Upatikanaji wa Hizi Line Za Safaricom Hakika Zinanisaidia kwa Mambo Mengi Sana Ikiwemo #Kutoa na Kupokea PESA PAYPAL, #Kutuma na Kupokea PESA Mpesa, 😋Pia Bonus za Vocha Ya Mpaka 1000Ksh Hakika Safaricom Inanisaidia.

Asante Sana Mister Tomaa Pia Zile Line 7 Nyingine Nimezipata pia Thanks Sana.
Ninayo hiyo Line tokea mwaka 2012
Kwa Watanzania ningumu sana kuitumia hii ghalama zake ni juu sana
 
Nyie mnanunua line mjiulize haya kabla ya maamuzi+

1. zimesajiliwa kwajina gani au zinasajiliwa vp?

2. Kama zimesajiliwa tayari Hilo jina NI lako vp siku mamlaka husika wakikutuhumu Hilo jina lililosajiliwa limefanya uhalifu na wanaamini n wewe?

3. Kama mnaitumia kwa matumizi ya kifedha na line imekuja ishasajiliwa tayari huoni Kuna uwezekano wa kupoteza pesa zako baada ya kudeposit pesa kwenye hyo lain

Haya kikwete alisema zakuambiwa changanya nazako
MAGUFULI naye alisema za mbayuwayu changanya nazako
Mnajitia aibu tu hapa kujadiri mambo yalio nje ya uwezo na uelewa wenu.....!
Maswali mengi ili uonekane uko Makini kumbe Bure kabisa.....

Kwani lazima mchangie kila kitu, vitu vingine mnaacha vinavyowahusu wapeane taarifa basi....Mnaboa na wenzio.....!
 
Ninayo hiyo Line tokea mwaka 2012
Kwa Watanzania ningumu sana kuitumia hii ghalama zake ni juu sana
Chief! Hiyo line sio kwa matumizi ya Roaming, ni kwa ajiri ya Registration za Paypal tu, may be Ku transfer pesa toka Mobile wallet ya Safaricom to Mpesa basi!

Fatilieni mijadala ya Paypal hapa jukwaani utaelewa, hasa kama ni mdau, kama sio mdau unakausha tu!
 
Hii ndio paypal original,ina sehemu ya kupokea na kulipia
Screenshot_2018-12-31-23-30-50.jpeg
 
Back
Top Bottom