Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Mkuu Mimi nimekuelekeza tu kwa wahusika sahihi maana mpesa MasterCard ndio naitumia kwa manunuzi mengi ya online na PayPal naitumia nishafanya hivyo nikafanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani huo ujinga wa Virtual card ya Vodacom ndio unaona umemaliza..Half knowledge mbaya sana, jielimishe kwanza watu wanataka nini ndio uanze kubisha ndugu.

Safaricom wapo mbali sana kwenye online transactions ndugu.Watu wanajua kwanini wanazinunua.
 
Tatizo uelewe mdogo au ujuaji mwingi kununua au kuwa mbali kinahusiani na Mimi kuweka mbadala hapo?

Asante mkuu,napata mzuka sana napoona vijana wanajitambua, bendera fata upepo tu
 
Tatizo uelewe mdogo au ujuaji mwingi kununua au kuwa mbali kinahusiani na Mimi kuweka mbadala hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekufatilia sana hoja zako mwisho wa siku nikaona kumbe bado una akiri za kitoto na nina mashaka na umri wako! Kwanza kabisa tupe screenshot ya huo muamala uliopokea pesa kutoka eBay kwenye account yako ya PayPal ya TZ uliyo link na hizo Vodacom MasterCard zako! Kuweka screenshot sio kazi sana acha visingizio vya kindezi eti unaogopa kuona transactions zako, tutakupa screenshot editor zipo ili ufiche details zako muhimu ambazo unahisi tutakuibia sijui , Shida yetu ni kuprove unachosema, tusibishane kwa maneno tu, Me nakupa screenshot ya transactions zangu za PayPal yangu na Miamala ya M-pesa ya Safaricom kama ukitaka... Watu kama nyinyi ndio mnaoharibu hii nchi na kurudisha nyuma maendeleo! Heri hata ungekua mchanga ungetumika kujenga barabara coz husaidii yeyote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sasa ushajua Mimi mtoto unapata shida gani kupoteza muda na Mimi?

Hahahaaaaaa.... angekuwa mchanga.....teh.teh....kicheko cha mwaka mpya
Nmekufatilia sana hoja zako mwisho wa siku nikaona kumbe bado una akiri za kitoto na nina mashaka na umri wako! Kwanza kabisa tupe screenshot ya huo muamala uliopokea pesa kutoka eBay kwenye account yako ya PayPal ya TZ uliyo link na hizo Vodacom MasterCard zako! Kuweka screenshot sio kazi sana acha visingizio vya kindezi eti unaogopa kuona transactions zako, tutakupa screenshot editor zipo ili ufiche details zako muhimu ambazo unahisi tutakuibia sijui , Shida yetu ni kuprove unachosema, tusibishane kwa maneno tu, Me nakupa screenshot ya transactions zangu za PayPal yangu na Miamala ya M-pesa ya Safaricom kama ukitaka... Watu kama nyinyi ndio mnaoharibu hii nchi na kurudisha nyuma maendeleo! Heri hata ungekua mchanga ungetumika kujenga barabara coz husaidii yeyote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo uelewe mdogo au ujuaji mwingi kununua au kuwa mbali kinahusiani na Mimi kuweka mbadala hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mpaka ananunua line ya safaricom ujue hizo mbadala za nchini anazijua na hazijakidhi matakwa yake.

Unataka kufundisha watu Virtual MasterCard ya Voda? Hiyo yenye options 4 kwenye menu.Bado ina limitations nyingi kwa watumiaji wengi wa huduma za mtandaoni.
 
Usibishane nae sana atakupotezea muda wako, mchawi screenshot OG tu ya PayPal yake basss
 
Nmekufatilia sana hoja zako mwisho wa siku nikaona kumbe bado una akiri za kitoto na nina mashaka na umri wako! Kwanza kabisa tupe screenshot ya huo muamala uliopokea pesa kutoka eBay kwenye account yako ya PayPal ya TZ uliyo link na hizo Vodacom MasterCard zako! Kuweka screenshot sio kazi sana acha visingizio vya kindezi eti unaogopa kuona transactions zako, tutakupa screenshot editor zipo ili ufiche details zako muhimu ambazo unahisi tutakuibia sijui , Shida yetu ni kuprove unachosema, tusibishane kwa maneno tu, Me nakupa screenshot ya transactions zangu za PayPal yangu na Miamala ya M-pesa ya Safaricom kama ukitaka... Watu kama nyinyi ndio mnaoharibu hii nchi na kurudisha nyuma maendeleo! Heri hata ungekua mchanga ungetumika kujenga barabara coz husaidii yeyote...

Sent using Jamii Forums mobile app

:D:DNAFUU UMENISAIDIA KUMWELEZA HUYO KENGE MTU!
 
siku hizi paypal hawakuitaji kuwa na Bank account ndo ui erify paypal account yako?

Nachomaanisha nkifungua paypal account as if nipo kenya hawatanidai account ya bank kui veirfy na what if wakiona unapokea hela nyingi kama hapo zamani wakakudai uwatumie ID yako au Bills zako za serikali zinazothibitisha location yako ulipo!
 
Sijawahi kuverify account ya paypal na ninaitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siku hizi paypal hawakuitaji kuwa na Bank account ndo ui erify paypal account yako?

Nachomaanisha nkifungua paypal account as if nipo kenya hawatanidai account ya bank kui veirfy na what if wakiona unapokea hela nyingi kama hapo zamani wakakudai uwatumie ID yako au Bills zako za serikali zinazothibitisha location yako ulipo!
Unaweza link na Card ya Equity Bank na ikawa full Verified na limitless kupokea $, niliwahi kufanya ivo kwenye paypal acc yangu ya kwanza kabisa ya Kenya.... Lakini kwasasa mimi ni muda natumia ambayo haiko verified na inafanya kazi kama kawa...

Sent from my Infinix X5514D using Tapatalk
 
Back
Top Bottom