Kwa wanajamii wote tafadhali!

Kwa wanajamii wote tafadhali!

Smile bado yupo kijitonyama mwisho!

unajua huyu binti ana aibu sana kama Heaven on Earth! hawezi kusema mbele za watu!

she is not a :blabla: woman..! sio kama koku bana! kila wakti ni:dance:!!
sasa koku na mimi nani muongeaji? mi namjuua koku a to z cheziya tanga wewe watu8 alikaba mwanahuo hadi dakikaya 120 ...mmmh
 
Last edited by a moderator:
sasa koku na mimi nani muongeaji? mi namjuua koku a to z cheziya tanga wewe watu8 alikaba mwanahuo hadi dakikaya 120 ...mmmh

mamii nimesema wewe sio mwongeaji! i know you! you speak where you are asked and interested only..!

sio vinginevyo!
:cell: nikupigie saa ngapi mamii?
 
aliniamisha mjini kanileta shamba huku!eti mjini mabazazi wengi.cc Mentor

avatar48795_30.gif


Mamaae...daadeq..classmate upo kijiji gani unanawiri hivyo..niwie tu radhi kwa kushangaa in pabliki!

Af mi sio bazazi...waulize malekchara wangu wote watakuambia...btw yule mama usiyempenda juzi kaoza kijana wake aisee!!!
 
mamii nimesema wewe sio mwongeaji! i know you! you speak where you are asked and interested only..!

sio vinginevyo!
:cell: nikupigie saa ngapi mamii?
sasa hivi piga
 
avatar48795_30.gif


Mamaae...daadeq..classmate upo kijiji gani unanawiri hivyo..niwie tu radhi kwa kushangaa in pabliki!

Af mi sio bazazi...waulize malekchara wangu wote watakuambia...btw yule mama usiyempenda juzi kaoza kijana wake aisee!!!
ahahaaa mama yupi nisiempenda bana? wakati ndo wameniweka mujini? mama mende nini? eheheeee ...ngoja na mimi niolewe sasa aisee madogo wanaolewa mi nipo tu?
 
nilimaanisha mkatae hadharani afungashe virago haraka huku baridi imezidi

hapana bana.. namsubiri Evelyn Salt aje mwenyewe kwanza! aseme kama yuko tayari kuwa na wewe ama la!

leo ni destination point... akisema hapana! ujue umeisha!

movie haitoendelea tena!
 
Last edited by a moderator:
ahahaaa mama yupi nisiempenda bana? wakati ndo wameniweka mujini? mama mende nini? eheheeee ...ngoja na mimi niolewe sasa aisee madogo wanaolewa mi nipo tu?

Huyo huyo..hivi hata akiwa wa kiume si ameozwa au? maana ni kijana mwenye jinsia ME ndio kaoa!

Usisahau kuniletea kadi tu sharti harusi ifanyike Dar na usiwe na :baby: tumboni!!!
 
charminglady naomba uwe na mchana mzuri wenye ingredients tamu kama kichuri na ugali wa muhogo!

kuna watu wanadiss sana hii menyu yetu..!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom