KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
hahaaa!!
nahisi badala ya sasa, utasema thatha!!
thatha eli79! mi thina ela bebii! thiko vizuri leo! thi unajua tena thiku hii mbaya! hahahaaaa!!
Ha ha haaa haaaaaaaa haaaaaa
hahaaa!!
nahisi badala ya sasa, utasema thatha!!
thatha eli79! mi thina ela bebii! thiko vizuri leo! thi unajua tena thiku hii mbaya! hahahaaaa!!
mkuu mi sizingui...
Evelyn Salt alinitamkia wazi ananitaka kimapenzi...
nimemkubalia anajirusha rusha tu
nimechoka walahi
shituka wewe!! au ndo kuchapiwa ni siri ya ndani eenh!! hahahaaa!! natania mkuuu!
na ukimaind tu mi nakuchapa mbele ya mkeo!
so keep calm!
ahaaaa ile mishikaki ni noma ...kuna siku nilienda dar nikapita pale sijaona kile kijiwe bana....ahaa life bana...thax for your love though! miss u a lot ...wape hai wana kigodoroNimekumiss balaa kama mishikaki ya k...pa ...ba...!
Ha ha haaa haaaaaaaa haaaaaa
eheheee am taken for good!
halafu na wewe ukasema unamtaka kisiasa.. ndo maana Evelyn Salt anagoma na kukimbilia kwangu bana!
hebu wekaneni sawa kwanza... leo ndo mwisho wajina nyie!
usipomaliza mgogoro wako chumvi, namuoa mimi kwa nguvu!
aliniamisha mjini kanileta shamba huku!eti mjini mabazazi wengi.cc Mentor
mkate hadharani ndo itakua suluhisho...
ahaaaaaaaaa! uhuhuuuuu napita tu mieby who?...
aliniamisha mjini kanileta shamba huku!eti mjini mabazazi wengi.cc Mentor
Smile bado yupo kijitonyama mwisho!Ha ha haaa #teambazazi mupoo?
unafikiri utakuwa unacheka hivyo tena?
yani itakuwa thwaga thwaga thatha!!
thaathaa thathahthahtha!!!!
Smile bado yupo kijitonyama mwisho!
unajua huyu binti ana aibu sana kama Heaven on Earth! hawezi kusema mbele za watu!
she is not a :blabla: woman..! sio kama koku bana! kila wakti ni:dance:!!