Kwa wanajamii wote tafadhali!

Kwa wanajamii wote tafadhali!

Mentor anazingua! si anajifanya wanajuaaana!

ngoja sasa nimtoe jaw za mbele!
Hivi kumbe ni classmate wangu unamzengea??! Endelea tu mkuu. Ujue kuna title nyingine ukishajipa bana hata kutongoza huwezi, mfano, Besti, classmate, bff, n.k. ndiyo zone alonieka Smile!

Endelea mkuu mie nije nile wali bana...
 
Last edited by a moderator:

hahaaa!! hizo zote hazina impact bana! wote hao wanaishia kuwa besti lovers!

those are stages of knowing each other well!

like friendship.. courtship... marriage and family at the end!
 
:A S new:bazazi.com!

teh...! Dinazarde mambo!

Mkuu na mimi umeniingiza huku
A%20S%20new.gif
bazazi.com!?? Duh duh
 
Smile simuoni tena wajameni!

is this a hart trick?

mi maneno yamezidi nini? watu waenda kwa vitendo eenh!
by the way umuache Mentor wangu hatujakutana barabarani ..tumelaliakitandakimoja chuo for 3 solid years..can u imagine?
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe ni classmate wangu unamzengea??! Endelea tu mkuu. Ujue kuna title nyingine ukishajipa bana hata kutongoza huwezi, mfano, Besti, classmate, bff, n.k. ndiyo zone alonieka Smile!

Endelea mkuu mie nije nile wali bana...
mi na wewe forever baby!
 
Huyo huyo..hivi hata akiwa wa kiume si ameozwa au? maana ni kijana mwenye jinsia ME ndio kaoa!

Usisahau kuniletea kadi tu sharti harusi ifanyike Dar na usiwe na :baby: tumboni!!!
bikra hawezi kuwa na mimba bana
 
bikra hawezi kuwa na mimba bana

Oh oh nlishasahau my dia...! Bikra wa MUCCoBS na JF..we ni noumer!!!!!

Kwa mantiki hiyo mimi nakuja zat wei tufainolaizi hii mambo.
 
ahaaaa ile mishikaki ni noma ...kuna siku nilienda dar nikapita pale sijaona kile kijiwe bana....ahaa life bana...thax for your love though! miss u a lot ...wape hai wana kigodoro

Yaani......!
Those days with mishikaki........
 
Back
Top Bottom