mpwa eenh!!! ok, my eyes on myself!
Tatizo ni nini tenaaaa...niko job mwajiri atanimind nikitoka kabla ya wasaa, labda nikupitie lunch time. Nitakuja na mume Elli79 tukupe ushauri nasaha hizo tab zoote zikuondoke
kanipikie basi wangu... eenh!! iam thirsty , hungry, tired, frusrated, worrying, asleepy and etc etc!
unadhani patakalika hapa?
kanipikie basi wangu... eenh!! iam thirsty , hungry, tired, frusrated, worrying, asleepy and etc etc!
unadhani patakalika hapa?
basi mkeo ana matatizo na pronounciation!
ule mwanya unampa shida sana!!
kauzibe mkuu! chukua ile chapa ya ng'ombe.. teh! ziba mwanya! hahahaaa!!
Mi naona munanizingua.
Heee heeeee heeee Excel kuna nini kwaniii? Mwanya huu original from....haunipi shida kabisaa na my huz anaupenda sana
Hun, huyo anaona wivu, huo mwanya aupaye wapi...hizo lips azitamani huyooo!!
Hun, huyo anaona wivu, huo mwanya aupaye wapi...hizo lips azitamani huyooo!!