Kwa wanajamii wote tafadhali!

Kwa wanajamii wote tafadhali!

mine is brilliant.. kila wakati nikiiangalia hio avatar natabasam!

napenda sana mwanya!

Ha ha haaaaa taratibu taratibu...mume mtarajiwa ako macho....Tabasamu mwaya uongezea afya ya nafsi
 
Ha ha haaaaa taratibu taratibu...mume mtarajiwa ako macho....Tabasamu mwaya uongezea afya ya nafsi

hahahaa!!

nimeshusha makucha mama!!

nowadays nimeokoka kwa kiasi kidogo..

iam no longer a bazazi that much..!
 
hahahaa!!

nimeshusha makucha mama!!

nowadays nimeokoka kwa kiasi kidogo..

iam no longer a bazazi that much..!

Nakuamini mpendwa.....

Wewe ni kijana mpole kwa kweli........si bazazi kabisaaa
 
hahahaa!!

nimeshusha makucha mama!!

nowadays nimeokoka kwa kiasi kidogo..

iam no longer a bazazi that much..!

ha ha... You better watch your moves dude!!
Naona wajaribu kuwa romantic usiku huu, lolz!!!
 
Nipo mpezi....all alone and lonely. Nashukuru umerudi

Alone n lonely? No wonder Excel is trying to be nice to you, lolz!!
Pole, nimerudi...nipo kwa ajili yako wangu!!!
 
Last edited by a moderator:
Nakuamini mpendwa.....

Wewe ni kijana mpole kwa kweli........si bazazi kabisaaa

you are mocking me KOKu! by the way... ulipotea sana!? whatzup?


ha ha... You better watch your moves dude!!
Naona wajaribu kuwa romantic usiku huu, lolz!!!

its very cold in here meeen! great your wife..! (oh!!.. najisahau tena!!! ipo siku ntapigwa mie!!)
 
Last edited by a moderator:
Haya bwanaaaa. Ulale salama na wengine woteee. Na wasiokuwa na usingizi tuitane tutie hadisi. Mi nitaleta ubuyu wa Unguja pale mtaa wa Kiponda.
 
Alone n lonely? No wonder Excel is trying to be nice to you, lolz!!
Pole, nimerudi...nipo kwa ajili yako wangu!!!

you guys dont try to involve me in your crushes! ohoooo!

but, if you have any financial incapabilities..! come to me!

iam a excelaid!
 
Last edited by a moderator:
Haya bwanaaaa. Ulale salama na wengine woteee. Na wasiokuwa na usingizi tuitane tutie hadisi. Mi nitaleta ubuyu wa Unguja pale mtaa wa Kiponda.

wa kwanza mimi Karucee!

ngoja nivute gurudumu nikalie kabisaa! maziwa ndani ya kibuyu yako tayari kwa kukata kiu!

ushawahi kula kichuri wewe?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom