CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
charminglady naomba uwe na mchana mzuri wenye ingredients tamu kama kichuri na ugali wa muhogo!
kuna watu wanadiss sana hii menyu yetu..!!!
Hiyo menyu ya ukwenhe afu meimiss sana , ngoja weekeend nienda pale Buzuruga Makutano Bar huwa ipo!! Huez amini nimeimiss mpaka nimeiota uski wa kuamkia leo!!!!