Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,118
- 72,600
Natanguliza shukrani za dhati kwa rafiki zangu wote humu wana Jf,muda umefika wa kupumzika na kutuliza akili zetu,pia uchovu kutokana na shughuli/pilikapilika za hapa na pale za kutafuta maisha yetu ya kila siku.
Pia namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kua nipo hai kwa kunipa pumzi ya bure kabisa ambayo siilipii na mzima wa afya,
Nachukua fursa hii kuwaombea wagonjwa ,wasiojiweza, ,Muumba awatie nguvu mrudie katika hali zenu za kawaida
Pia roho wachafu, umaskini,mashetani yashindwe na yalegee kwa uwezo wa alietuumba na kutupa mamlaka katika dunia hii.
Pia tuwe wavumilivu kama Ayubu, tujifunze kusamehe kama Mola wetu anavyotusamehe makosa yetu.
NAWATAKIENI USIKU MWEMA WENYE NDOTO NZURI.
Nawapenda nyote,!!