Na kwako pia pamoja na familia yako
Kushukuru, Kusameheana ndio mpango mzima, pamoja na upendo pia.Natanguliza shukrani za dhati kwa rafiki zangu wote humu wana Jf,muda umefika wa kupumzika na kutuliza akili zetu,pia uchovu kutokana na shughuli/pilikapilika za hapa na pale za kutafuta maisha yetu ya kila siku.
Pia namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kua nipo hai kwa kunipa pumzi ya bure kabisa ambayo siilipii na mzima wa afya,
Nachukua fursa hii kuwaombea wagonjwa ,wasiojiweza, ,Muumba awatie nguvu mrudie katika hali zenu za kawaida
Pia roho wachafu, umaskini,mashetani yashindwe na yalegee kwa uwezo wa alietuumba na kutupa mamlaka katika dunia hii.
Pia tuwe wavumilivu kama Ayubu, tujifunze kusamehe kama Mola wetu anavyotusamehe makosa yetu.
NAWATAKIENI USIKU MWEMA WENYE NDOTO NZURI.
Nawapenda nyote,!!
Mi simo ni hao wawili wanazinguaa banaa
karibu kiti besti.. we have a lot to tolk today!
Am here to listen then
would you mind to have coffe or tea?:coffee:
Haya ngoja nimebadilisha nimehofia utaota,
Thank you .................,
KOku najua we ni msahaulifu sana; nakuomba ukitaka kulala usisahau kufumba macho.
toka saa saba usiku ndo unajibu sasa saa nane mchana?
aargh! watoto wengi.. tuyaache hayo!
Hii makitu ishamilikiwa. Ngoja nikuitie mwenyewe athibitishe. OLESAIDIMU kam zis wei.
Cc miss neddy njoo ujionee mwenyewe ukimbize habari kwa mamito kuwa mbaya wake sio mimi.
KOku najua we ni msahaulifu sana; nakuomba ukitaka kulala usisahau kufumba macho.