akija toka mjini na T.M.O loh!Waliosoma Tosa Wametisha... aaahhh Mnamkumbuka Poster Master?
Nyamihuhu ni kama
km47 hivi toka iringa mjini kupitia mwangata na ni baada ya Kidamali kwa
akina joji filiakusi. Kama sikosei ni kabla ya mlima ipwasi njiani
kwenda nyamahana! Ha ha haaa, one to idodi then ruaha nesheno paki.
Iringa panofu nyeee
Midtown na Seneti zina hali gani siku hizi?!
zuwena na macho yake ya kurembua, nimekula mboga sana.umeona nimemtaja demu wako mama mingoi imechukia hahahhaha
na Zuwena je!? umemkumbuka mkuu!
umesoma na peter shemweta (white)Nimesoma Lugalo sekondari Alevel 2002-2004. Nakumbuka kihesa chips za kisomaa tamu balaa. Iringa nilipapenda
zuwena na macho yake ya kurembua, nimekula mboga sana.
mkuu Ay alikuwa na vijana wenzie watatu na kundi lao la SOG Walikuwa wanasoma Ifunda,nimesoma sabasaba primary kitambo enzi za mwalimu kisunda,myonga,nylunga na wenzie viazi na mifudu kule getini nje kwa mama mwinuka,sitowasahau wababe wa kihesa,Eric Fungo,George na bwana mdogo juma mpwisu
Na mke wake mama suzy.Mkwawa..makanyagio kwa mzee chuwa...
Umenikumbusha mbali sana..mgohamwende, mwangoka, mwaipaja, nguwi (RIP). Football matches V vs VI na concert za akina mtemi shambwe na kundi lake boyz to men wa mkwawa, latifah, big mama, simple v...acha tu!Mkwawa Secondary 1996-1998: Vituko vya Makanyagio...maji ya moto kwa Mama (T)Uswege, maandazi kwa mnyalukolo mtaa wa pili...na migahawa ya Nelkon (RIP) na Mzee Chuwa. Mawakala wa mabasi wakati likizo inapofika, n.k.
Duh..Vivian (simple v) alifariki? Lini hiyo tena and what happened to her? Kweli maisha mafupi jamaniMkuu Ay alikua anatoka ifunda kwenda Donbosco kurap kpindi wako ifunda walikua wanajihita SOG ma wakija iringa town wanafikia ilala kwa jamaa anaitwa KG,mkwawa wakati huo wako kina Marehemu Vivian na Big mama,Tosa wakati huo wako Zero Brain kina Kaiss toka tambaza,Sultan na Mzindakaya haaa!c ndio wenyeji wa hawa jamaa pale mkoa bana akuna deal isipite kwetu now dayz kuna wadogozetu pale km Braisony Tweve hapo uliza chochote utapata hata km.....
Umenikumbusha mbali sana chama letu kubwa la pomerini enzi za miaka ya 1990s chipsi za kwa dononda ,kuoga na kufua maporoko , na mwalimu wetu ngogo kuamka saa 11, kweli kile kilikuwa kama kituo cha jkt
umekula mboga ipi mkuu hahahhahahah mboga?
Unaijua Kitulo-Makete, au unasema 2!?
Umenikumbusha mbali sana..mgohamwende, mwangoka, mwaipaja, nguwi (RIP). Football matches V vs VI na concert za akina mtemi shambwe na kundi lake boyz to men wa mkwawa, latifah, big mama, simple v...acha tu!
Mahaka ya kadhi kumbe na we ni mmoja kati ya waliokula nyama za watu makanyagio? Iligundulika hiyo nikiwa form five 2004 baada ya nyie kuondoka. Dah! Ilikuwa vilio tena alituhabarisha mr. Mbao. Ilikuwa vilio.hahaaaa pole sana.
usimsahau mwalimu wa michezo masebo mzee wa fegi na brazamen mgimwa hiyo ndo ilikuwa mkwawa bana