Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

kawawa Jkt sec school pande za mafinga picha linaanza baridi kali shule ka depo depo la askari ipo kambi ya mafunzo si mchezo mornin 11 mchakamchaka jioni piga sana kwata... ye ah kupunguza stress tulizama luganga kunywa ulanzi mkangafu mixre mchicha rudi dom 2po chicha kisa cha kugombana na ticha alipotusimamisha washkaj wakampiga vichwa kumbe katuklemisha kesho yake masomo tukasimamishwa shule tukajiamisha arusha stori ya maisha ya iringa kwisha, mbali sana umenikumbusha!
 
Nimezaliwa Kijiji cha
Kipera, nikasoma shule ya msingi Kipera 1991-1995, nikahamia Ilala shule
ya msingi 1996-1997: nilikaa makanyagio chini tu ya geti la mkwawa.
Nakumbuka nikipita mle mkwawa asubuhi ninapokwenda shule nakutakia
wanafunzi wanaoga nje ya mabafu, sasa wakichelewa walimu wao
wanawafukuza wengine wanakimbia uchi. Was very fan. O level Kalenga
secondary 1998-2001, nilikuwa napiga ulanzi mbaya, mwanzoni mwa 2001
nikaona nafeli sana afu napiga sana usingizi concentration hakuna
nikaamua kuachana na pombe hadi leo. Tosamaganga sec advance 2002/2004:
lakini nimekaa pia semtema, mkimbizi kota za bank. Tosamaganga
nakukumbuka mabanzi, na mboga za majani zikiwekwa karanga watu wanasema
zimewekwa sperm. Ycs na manesi wa Ipamba na shule nyingine kuzunguka
tosamaganga zone.

Mkuu mimi ni jirani yako..nimesoma Nyamihuu Primary school...mitowo, misasati na mifudu ndio chakula changu enzi hizo
 
Mkwawa 2000-2002 kuoga wiki kwa wiki, makanyagio kula mabanzi( mabanzi ni mandazi makubwa kama kichwa cha mtoto) mesi jtano mchana hapatoshi sababu ya ugali nyama, hatari zaidi ni jmosi mchana sababu ya wali. msimu wa juisi( ulanzi) maisha mteremko......dada kaenda nayo masine....namis sana Iringa

Kaenda nayo masine ndo maana hana kufuli, kwa hiyo unamwangusa tu kwenye masebele.
 
Namkumbuka' My Dear' history teacher, MASATU toka Mkwawa akija baadhi ya week end kutufundisha EngLanguage Malangali Sec 2003-2005.
 
Jaman iringa ilikuwa enzi hizo now kumepauka na kufubaa.nakumbuka kwa mama siyovelwa,disco ruaha,yaan enzi hizo ilikuwa burudan haswa.nimesoma kichangan na lugalo miaka hiyooooo
 
Mkwawa Secondary 1996-1998: Vituko vya Makanyagio...maji ya moto kwa Mama (T)Uswege, maandazi kwa mnyalukolo mtaa wa pili...na migahawa ya Nelkon (RIP) na Mzee Chuwa. Mawakala wa mabasi wakati likizo inapofika, n.k.
 
Iringa si mchezo,

Kuna bus moja la zamani sana, limeandikwa vitu laini linatoka kilolo ndani huko !!!!! Nimekaa mitaa ya Ndiwili kwa mtalaam SEKENI, huyu mkinga alikuwa maarufu sana. RIP Sekeni.
 
Nimesoma Lugalo sekondari Alevel 2002-2004. Nakumbuka kihesa chips za kisomaa tamu balaa. Iringa nilipapenda
 
mimi nimesoma ruaha university college(2009/2012),nilipanga chumba katika maeneo mawili tofauti,mara ya kwanza nilipanga maeneo ya ngome kihesa mwaka 2009/10 na miaka iliyobakia niliishi maeneo jirani na shule ya sekondari mwembetogwa.wakati nikiwa mwembetogwa nimekuwa nikipata chakula katika mgahawa wa mzee sadiq kwa bei poa jirani na stendi kuu ya mabasi.

muhidini huyoooooooooooooooooooo!
 
ruaha sec n mkwawa hgh school 1995-2001.
mkwawa watu wakichelewa assembly Mungu ibariki ikiimbwa na wao wanaimba bwenini.
mashndano yadon bosco kipind hcho AY anatoka mufindi cjui kuja kuperfom
 
Advance Tosamaganga,enzi hizo. Ulanzi ulpatikama Ipamba,pia tulikwenda huko Ipamba kutafuta mende kwa ajili ya disection.
Vilevile vyura kwa ajili ya disection tuliwafuata Msiwasi.
Mabansi tuliyapata kwa masista au kwa mama mingoyo.
mkuu hembu funguka vizuri bana pale ulikuwa mwaka gani?? mm nimesoma pale kuanzia mwaka 2001 mpaka 2005
 
malangali boys tulikua na mzee Seme p1 na makam wke Mgeni pia Mwl My Dear, Nyudike ful ulanzi kule mnadan na iyohanza
 
Wilolesi Primary school

Mafinga Secondary school (MET)

Mtwango Secondary School (NDDT)


Mtwango pale kulikua na sehemu znaitwa kichiwa na msakafu ndo yalikua maeneo yetu ya kujidai


Mafinga shimon,John's Corner

Napakosa sana Iringa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
ruaha sec n mkwawa hgh school 1995-2001.
mkwawa watu wakichelewa assembly Mungu ibariki ikiimbwa na wao wanaimba bwenini.
mashndano yadon bosco kipind hcho AY anatoka mufindi cjui kuja kuperfom

mkuu Ay alikuwa na vijana wenzie watatu na kundi lao la SOG Walikuwa wanasoma Ifunda,nimesoma sabasaba primary kitambo enzi za mwalimu kisunda,myonga,nylunga na wenzie viazi na mifudu kule getini nje kwa mama mwinuka,sitowasahau wababe wa kihesa,Eric Fungo,George na bwana mdogo juma mpwisu
 
Mkuu Ay alikua anatoka ifunda kwenda Donbosco kurap kpindi wako ifunda walikua wanajihita SOG ma wakija iringa town wanafikia ilala kwa jamaa anaitwa KG,mkwawa wakati huo wako kina Marehemu Vivian na Big mama,Tosa wakati huo wako Zero Brain kina Kaiss toka tambaza,Sultan na Mzindakaya haaa!c ndio wenyeji wa hawa jamaa pale mkoa bana akuna deal isipite kwetu now dayz kuna wadogozetu pale km Braisony Tweve hapo uliza chochote utapata hata km.....
 
Back
Top Bottom