Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

Mkuu Ay alikua anatoka ifunda kwenda Donbosco kurap kpindi wako ifunda walikua wanajihita SOG ma wakija iringa town wanafikia ilala kwa jamaa anaitwa KG,mkwawa wakati huo wako kina Marehemu Vivian na Big mama,Tosa wakati huo wako Zero Brain kina Kaiss toka tambaza,Sultan na Mzindakaya haaa!c ndio wenyeji wa hawa jamaa pale mkoa bana akuna deal isipite kwetu now dayz kuna wadogozetu pale km Braisony Tweve hapo uliza chochote utapata hata km.....
Wewe skendo husiende mbali umenikumbusha mbali sana uliposema big mama !!alikiwa rafiki yangu sanaaa..ila umenishtua ulivyosema vivian alifariki (rip) walikuwa rafiki zangu saaanaa..na akina irine kiwia..sundi fimbo..boniface..hesau..nk mimi baada ya kumaliza nilitimkia hapa dubai tangia 2003
 
Nilikuwa Ruaha Tech kuanzia 1989-1992 then Mkwawa complex

Usiniambie tulipewa adhabu ya kuchimba mtaro wote na mshkaji anaitwa Sina bin jabr hahaaaa. Unamkumbuka ticha wa biology frm three? Unakumbuka enzi za Opp? Naughty by nature hahaa nahisi tulikuwa class moja! Unakumbuka ka mgomo ketu ka kudai caution money baada ya kumaliza mtihani?
 
Mkuu Ay alikua anatoka ifunda kwenda Donbosco kurap kpindi wako ifunda walikua wanajihita SOG ma wakija iringa town wanafikia ilala kwa jamaa anaitwa KG,mkwawa wakati huo wako kina Marehemu Vivian na Big mama,Tosa wakati huo wako Zero Brain kina Kaiss toka tambaza,Sultan na Mzindakaya haaa!c ndio wenyeji wa hawa jamaa pale mkoa bana akuna deal isipite kwetu now dayz kuna wadogozetu pale km Braisony Tweve hapo uliza chochote utapata hata km.....
Wewe skendo husiende mbali umenikumbusha mbali sana uliposema big mama !!alikiwa rafiki yangu sanaaa..ila umenishtua ulivyosema vivian alifariki (rip) walikuwa rafiki zangu saaanaa..na akina irine kiwia..sundi fimbo..boniface..hesau..nk mimi baada ya kumaliza nilitimkia hapa dubai tangia 2003
 
Offcourse navikumbuka yota hasa wakati Mdemu Mgelimembe alipokuwa anajitia kimbelembele kuwatetea wale wapuuzi waliotaka kutia ndani pesa zetu za caution money namkumbuka mwalimu wa biology pamoja na mwalimu wa siasa na agro mechanics aliyekuwa anataka tutoke nje ili tupige picha badala ya kutufundisha bila kumsahau Miss Fariba
 
2006/08 TOSA BOYZ,njemba moja aliitwa PAP2 noma,skonga ilikuwa shubir.Ila manes wa Ipamba walijirahisi,tulipita nao!!
 
Nimekaa uhindin nikasoma gangilonga primary 94-95.......Iringa pazuri banaaaaaa.........
 
chemchem primary school,then ruaha secondary 2001.....na nimekuja juzi aisee pamebadirika sana ir!

Duh Chem chem! Mi niliishi pale kwa Kamanga dukani opposite na Chemchem 2000- 2002 Bila shaka ulikuwa ukinunua Alizeti kwa yule bibi pale mlangoni hahahaha....
 
Wewe skendo husiende mbali umenikumbusha mbali sana uliposema big mama !!alikiwa rafiki yangu sanaaa..ila umenishtua ulivyosema vivian alifariki (rip) walikuwa rafiki zangu saaanaa..na akina irine kiwia..sundi fimbo..boniface..hesau..nk mimi baada ya kumaliza nilitimkia hapa dubai tangia 2003

haaaaa!kitambo sana mzee ila mimi sijasoma mkwawa mzee isipokuwa ni ,mdau sana wa ule mkoa,na nimesoma chekechea mkwawa nikaja ilala primary kipndi mkwawa chuo mpka inakuja kuwa sec na sasa imerudi kuwa chuo
Ay alikua na kina Adam na Gembe wengi wanamjua km Buff.G,kipndi icho jamaa anaitwa Tojo muuza mitumba da!jamaa kawagonga sana watoto washule kisa mitumba goli lao lilikua pande za fance ya hosptal ya mkoa
consect kreruu wana rapu kina Geez mabovu,mikeT,dataz,
matoz mkoa kipindi icho ni kina maskat haaaaaaaa!Iringa bana cku nitaenda kupaona tena
 
hebu tuambizane,uliwahi ishi iringa sehem gani na mwaka gani,shule ya msingi ulisomea sehem gan! Na unakumbuka nini?? Mimi niliishi kising'a na niisoma kising'a s/m 1990-1996. Nakumbuka tulikuwa tunakunywa sana ulanzi wa watu kwenye mbeta na kula matikiti
nilikuwa field practical shamba la ng'ombe wa maziwa sao hill mafinga iringa mwaka 2008, maziwa hayakuwa shida hata kidogo pale shambani, wanawake wanasalimia wanaume kwa kupiga magoti, tatizo lilikuwa ni baridi! Baridi ya saa nane mchana utafikiri saa kumi na mbili asubuhi, kuna siku nilikuwa namtibu ng'ombe kuja kushangaa mwili mzima wa n'gombe ulikuwa barafu!!! Vile vile ushirikina upo juu sana kuna aina ya usafiri wa jadi unajulikana kama kipembe bila kusahau tego kama utamdhulumu mwenyeji!!
 
2006/08 TOSA BOYZ,njemba moja aliitwa PAP2 noma,skonga ilikuwa shubir.Ila manes wa Ipamba walijirahisi,tulipita nao!!
haaaa!Tosa bana c mchezo mabanzi kwa macster,mpira msiwac gradu zote za kalenga sec tupo kana kwamba c ni wanafunzi wa pale,tukienda disco Iringa zooo hapatoshi,Kunajamaa ilikuaga masifa inaitwa Lugano mwampeta haaaaaa!
 
Wewe skendo husiende mbali umenikumbusha mbali sana uliposema big mama !!alikiwa rafiki yangu sanaaa..ila umenishtua ulivyosema vivian alifariki (rip) walikuwa rafiki zangu saaanaa..na akina irine kiwia..sundi fimbo..boniface..hesau..nk mimi baada ya kumaliza nilitimkia hapa dubai tangia 2003

usisahau timu ya kina big mama ni sundi fimbo,vivian,ngalu buzohela,irine kiwia ebwana mkuu hiyo ilikuwa 1997 hadi 1999 kundi hilo lilikuwa halikosi disco ruaha kila wikiend nakumbuka sundi alipigwa ngumi usoni na jamaa yake akavimba uso jamaa akapewa adhabu ya kufukia mashimo ya barabara
 
nakumbuka mwaka 2003-2004 sekondari mkwawa,ukiwa na 500 siku nzima uingii mesini,unaenda sehemu inaitwa makanyagio.100 asubuhi unapata chai kwa maandazi matatu,mchana 200 wali kwa maharage,jioni 200 tena unapata wali kwa maharage.
Mahaka ya kadhi kumbe na we ni mmoja kati ya waliokula nyama za watu makanyagio? Iligundulika hiyo nikiwa form five 2004 baada ya nyie kuondoka. Dah! Ilikuwa vilio tena alituhabarisha mr. Mbao. Ilikuwa vilio.hahaaaa pole sana.
 
pomerini sec school,, kulikua na shida ya maji niaje!? Ilikua unakunywa uji sa 12 na nusu asubuh then unaenda mton( ifwenga) kuosha chombo na kupiga mswaki,,, ilikua kama kituo cha mafunzo ya mgambo,,,( R.I.P) MY HEADMASTER MG
Umenikumbusha mbali sana chama letu kubwa la pomerini enzi za miaka ya 1990s chipsi za kwa dononda ,kuoga na kufua maporoko , na mwalimu wetu ngogo kuamka saa 11, kweli kile kilikuwa kama kituo cha jkt
 
Back
Top Bottom