mokolobilanga
Member
- Mar 5, 2013
- 39
- 9
Jamani tujuzeni zaidi juu ya maandazi ya makanyagio mi niliyala sana miaka ya 97 mpaka 99
Jamani tujuzeni zaidi juu ya maandazi ya makanyagio mi niliyala sana miaka ya 97 mpaka 99
Mkuu kwenye nyekundu yanaitwa MABANZI
na yule mama ni MAMA MINGOI
MIMI NIMETOKA HAPO 2004 EGM piaNilikuwa tosamaganga mwaka 2004 hadi 2006,EGM Boy.
mimi nimetoka hapo 2004 egm pia
ulikuwa na ugurumo,bassu,suzi(mzungu) pamoja na mrehemu(kamanda)chalwe.
yes mkuu sijui umemkuta kahamsini!? ndo tulikuwa nao hao!
Yaa kafifty nilimkuta!!jamaa mnoko sana kama fyudo.
aiseee umenikumbusha Fyudo nilikuwa simpendi kishenzi yule mwalimu, alikuwa akiniona na ndevu ananichapa kishenzi, nilikuwa namchukia kweli na alikuwa ananifahamu sababu ya ndevu!
We form wani wangu... We group gani? mi group Four 88-91 D2 seuta.... Nammis sana mchili, Bladi kinyakanyaka, Mbungi nilikutana naye Iringa Nov 2012 stend ya Iringa, Kitomali mzee wa kuzaa watoto karibu karibu (Mapacha wa nje), Kuna Shabani wa lelctrical Science...Ifunda 90-93 kijwe Itengulinyi na kwa mzee NYETO,mkuu Nkondokaya
Yaani hapo DOWN TOWN washatula sana hela ya kuandika herufi kwenye picha. Kila herufi ths mojaKaribu na Sadruz au Down town Shopping senta?