Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

Ile bangi ya Kikondo-Makete-Iringa inaniuma xna. Baada ya kuhamisha raia kwa ajili ya hifadhi ya Kitulo haina watumiaji!
 
malangali boys tulikua na mzee Seme p1 na makam wke Mgeni pia Mwl My Dear, Nyudike ful ulanzi kule mnadan na iyohanza

Nimewaacha hao walimu wote pale Malangali! Itengule, Ihowanza...network place etc!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mahaka ya kadhi kumbe na we ni mmoja kati ya waliokula nyama za watu makanyagio? Iligundulika hiyo nikiwa form five 2004 baada ya nyie kuondoka. Dah! Ilikuwa vilio tena alituhabarisha mr. Mbao. Ilikuwa vilio.hahaaaa pole sana.

nilisikia nikiwa nipo mtaani.yaani uchawi nchi hii ni balaa kama kweli.kuna jamaa pale chini alikuwa anauza vitu bei chee sana,yaani ni vilio
 
Mkuu mimi ni jirani yako..nimesoma Nyamihuu Primary school...mitowo, misasati na mifudu ndio chakula changu enzi hizo

Nyamihuhu ni kama km47 hivi toka iringa mjini kupitia mwangata na ni baada ya Kidamali kwa akina joji filiakusi. Kama sikosei ni kabla ya mlima ipwasi njiani kwenda nyamahana! Ha ha haaa, one to idodi then ruaha nesheno paki. Iringa panofu nyeee
 
Jaman iringa ilikuwa enzi hizo now kumepauka na kufubaa.nakumbuka kwa mama siyovelwa,disco ruaha,yaan enzi hizo ilikuwa burudan haswa.nimesoma kichangan na lugalo miaka hiyooooo
Tema mate chini, chezea IR weye!
 
Inawezekana kabisa uzuri wa miundombinu ni kwa sababu kwanza miaka ya 80, enzi za Nyerere kilikuwa chuo cha elimu ya Taifa (Mkwawa College of National Education). Ile shuleya Msingi Ilala,ilikuwa shule ya mazoezi ya waalimu wa pale Mkwawa CNE,na iliitwa Shule Ya Msingi ya Mazoezi Ilala.
mkwawa shule isiyopimwa kwa shule nyingine enzi zile
 
Iringa si mchezo,

Kuna bus moja la zamani sana, limeandikwa vitu laini linatoka kilolo ndani huko !!!!! Nimekaa mitaa ya Ndiwili kwa mtalaam SEKENI, huyu mkinga alikuwa maarufu sana. RIP Sekeni.

Nadhani ni Mwatasi huko kilolo ndani.
 
Nilipata bahati ya kuishi Iringa katika miaka mingi tofauti na hizi hapa chini ni sehemu nilizo wahi kuishi na aina ya maisha niliyoyafurahia 2003 - niliishi Iringa Don Bosco nikiwa Mwalimu wa kujitolea shule ya Mawelewele Secondary. Yalikuwa ni maisha mazuri mno katika nyumba ya kupanga ya bibi mmoja na hapo nilifahamiama na dereva wa daladala aliyekuwa jirani yangu na boss wake ambae siku hzi "tigo" hapo iringa. tiGo ni wale wana usalama wanaotumia boda boda 2006 - nilirudi Iringa baada ya masomo nje ya nchi nikiwa kama muajiriwa nikaishi Gangilonga na Wilolesi kwa kipindi kirefu cha miaka 2 hapo nikatengeneza network kubwa ya marafiki na biashara. Nilifanikiwa kumilliki Bar na vyombo vya usafiri wa biashara hapo Iringa. nilifurahia maisha ya kwenda Twisters, Shooters na mawindo Tumaini University , Mkwawa na Ruco pia2007 - nilihamia Njombe, nikawa naishi Mgendela kabla ya kuhamia Nazareth njombe. nilipata marafiki wengi wafanya biashara na wakulima hali iliyofanya nikajiingiza kwenye kilimo cha Mahindi Ludewa - Kata ya Lugarawa karibu na Mission na pia kulima viazi Bulongwa Makete. Kukaa kwangu Ludewa kulinipa marafiki wengi Mkongobaki, Mlangali, Lupande na Milo kote huko nimewekeza. Ukiachilia mbali Makete maeno ya Bulongwa, nilifurahia sana kukaa Makete mjini na nilikuwa mteja maarufu wa mgahawa wa Mama Jimmy na niliishi Hotel ya Hill Park kwa muda wote huoMwaka 2009 - niliondoka Iringa na Tanzania kwa ujumla, nayakumbuka sana Maisha yangu ya ujana nikiwa Iringa , Njombe, Makete na Ludewa. I will always cherish those good old times I spent there, inshallah nitarudi tena hali ikiimarika

Kwa Mama Jimmy mabehewani? Unapafahamu suville? Kokoo, na Grocery ya Mama Edita unaikumbuka? Jane Mangwangwa je?
 
Mimi niliishi Makambako, nilikua naishi Mji mwema kijiwe changu kilikua Bar moja hivi iinaitwa Usalule Guest and Bar....miaka ya 2006-2008

Midtown na Seneti zina hali gani siku hizi?!
 
Nimesoma Lugalo sekondari Alevel 2002-2004. Nakumbuka kihesa chips za kisomaa tamu balaa. Iringa nilipapenda

Kisoma alifariki Mkuu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nimesoma mapinduzi maeneo ya gangilonga 89 mpaka 94
 
Back
Top Bottom