Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

dah ama kweli sote tunapita.. mwlm Saiwadi alikua mwalimu mkuu wangu kabla ya mama Chuma... Niliwahi muona mwaka jana hakua kama mwlm Saiwad niliewahi mfahamu.. Dah Mungu amrehemu kwa kweli..

Insha Allah Amiin, ni kweli Mwl wenu alipata stroke then the condition didn't get better mpaka anafariki
 
Ilikuwa raha sana kwenda Drive Inn cinema halafu mnakula chips kuku kwenye gari mnachek movie.

Those good old days!

Ukisema chips kuku kwa baadhi ya watu ulikuwa unaonekana mshamba flani hivi....

Eti unatakiwa kusema 'chicken n' chips':biggrin::biggrin:
 
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.

Hivi wewe unafikiri mie ni mwenzako eeh?

Dar ina wenyewe hii, wewe wakuja tu.

Hawa wakuja enzi wapo likizo shuleni wakija Dar tulikuwa tunawapeleka uwanja wa ndege wakashangae kidogo.

Tunawapandisha kwenye ma Ikarus Kumbakumba hao tunaenda uwanjani.

Wakirudi huko makwao ndo wanaanza kujiona wajanja!
 
Na lazima kuwapeleka pale gati ndogo (Bombay) wakaone meli.

cc mrangi
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa raha sana kwenda Drive Inn cinema halafu mnakula chips kuku kwenye gari mnachek movie.

Those good old days!

While you were drive in those,tulikuwa kwenye tiketi za mbuu samaki kibao,ambapo ni makao makuu ya Zainabu sasa!!!
 
Nimesikitika sana kusikia Mwl James Alifariki,nakumbuka tuition za Jumamosi,alikuwa mkali ila alikuwa anapendwa sio kama JJ.

Nakumbuka Mwl. James ndio alitupeleka Bagamoyo for the first time.
R.I.P

Hivi kale ka-kibanda pale katikati ya shule chini, kalikuwa ka hali ya hewa au maana baadhi yetu tulikuwa tunakamata ndege na kwenda kuwafungia mule.
Utoto jama
 
sasa nawewe chamtoto tuliosoma hapo 1965 tupo kimya. Ila nachokumbuka kipindi hcho tulikuwa tunakula mihogo na samaki wa pale feri posta ya zamani. Kipindi hicho ilikuwa raha sana

sisi tulimaliza 1979...darasa letu ni akina AZIZI LUPATU,MAIMUNA CHUSU,ANDETILE SANGA,RODRICK,HENRY MWANGA,GRACE KALENYULA,JOVINA TIBENDA,SHEILA RASHID...NA DADA YAKE ALIKUWA DARASA LA JUU SAIDA RASHID,CHRISTINA NGONYANI,SUZAN KIANGO,FATUMA MTAMBO,BENBELLA,NEEMA MWANGAMA,ROSE NDERUMAKI NA WENGINE WENGI
 
Nakumbuka Mwl. James ndio alitupeleka Bagamoyo for the first time.
R.I.P

Hivi kale ka-kibanda pale katikati ya shule chini, kalikuwa ka hali ya hewa au maana baadhi yetu tulikuwa tunakamata ndege na kwenda kuwafungia mule.
Utoto jama

Kile kibanda kilitumika kama shule ya chekechea(nursery), shule ilikuwa chini ya masista wa st. Joseph. Ilikuwa unaanzia pale, then darsa lingine lilikuwa kule juu kwenye jengo lenye std 3 & 4. Nimesoma Forodhani nursery & primary from 1979 to 1987.
 
sisi tulimaliza 1979...darasa letu ni akina AZIZI LUPATU,MAIMUNA CHUSU,ANDETILE SANGA,RODRICK,HENRY MWANGA,GRACE KALENYULA,JOVINA TIBENDA,SHEILA RASHID...NA DADA YAKE ALIKUWA DARASA LA JUU SAIDA RASHID,CHRISTINA NGONYANI,SUZAN KIANGO,FATUMA MTAMBO,BENBELLA,NEEMA MWANGAMA,ROSE NDERUMAKI NA WENGINE WENGI

Jovina Tibenda na Susan Kiango walifaulu waka chaguliwa kwenda Ashira Girls Sec. Wako wapi sasa ?
 
Back
Top Bottom