hyusuph
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,655
- 692
Sasa wewe huoni kwamba kumcheka Mwalimu ni utovu wa nidhamu?
Ungekua karibu ningekuchapa na kiboko cha mguu!
Ha ha haaaaa kweli kabisa ila c unajua tena utoto kazi ee
Sasa wewe huoni kwamba kumcheka Mwalimu ni utovu wa nidhamu?
Ungekua karibu ningekuchapa na kiboko cha mguu!
Hahaha pia alikuwepo Mwalimu Nyalika wa English, Mwalimu Bange wa Hisabati na Mwalimu Tarimo wa Sayansi Kimu na Mwalimu Matata.Nakumbuka siku za Ibada pale St Joseph nadhani siku za Jumatano asubuhi.
Bakara za Mwalimu Julus nazikumbuka mpaka leo nikiwa class monitor at STD VA.
RIP Mwal James-Alinifanya niipende sayansi na kuiweza mpaka leo.
Nice thread........!
Dah madame B mi nakumbukaga sana muda ile ya mapumziko mchana mi na rafiki yangu mmoja hivi anaitwa Clara munisi tulikuwa tunaenda pale fast food mfukoni tuna 300 tu hata uwezo wa kununua chakula hatuna apo fast food tunaambulia harufu tamu ya mahanjumati kisha haoo tumeridhika na harufu tunarudi shule na njaa zetu
Wote nyie cha mtoto, waliomaliza std 7 1977 wajitokeze. Mariam saidi, Pauleta Nyerere, Asumpa ndeji, Gladys Butiku, Robert Jana, Semu Mwaijande, Fortunata Makafu, Richard Kashinde, Eliza Guveti. Walimu Josephne Mahiga, mwl Mbuya, mwal Kagisa, mwl Kasdam muhindi, mkiingia asubuhi gate likifungwa hakuna kutoka mpaka saa sita kwenda kula mchana darasa linaendelea. Those days njooni wakongwe tukumbukane. Asubuhi sala oh God ur greater...
ShikamooooWote nyie cha mtoto, waliomaliza std 7 1977 wajitokeze. Mariam saidi, Pauleta Nyerere, Asumpa ndeji, Gladys Butiku, Robert Jana, Semu Mwaijande, Fortunata Makafu, Richard Kashinde, Eliza Guveti. Walimu Josephne Mahiga, mwl Mbuya, mwal Kagisa, mwl Kasdam muhindi, mkiingia asubuhi gate likifungwa hakuna kutoka mpaka saa sita kwenda kula mchana darasa linaendelea. Those days njooni wakongwe tukumbukane. Asubuhi sala oh God ur greater...
hahahahaha...hivi clara yupo wapi siku hizi?
Wote nyie cha mtoto, waliomaliza std 7 1977 wajitokeze. Mariam saidi, Pauleta Nyerere, Asumpa ndeji, Gladys Butiku, Robert Jana, Semu Mwaijande, Fortunata Makafu, Richard Kashinde, Eliza Guveti. Walimu Josephne Mahiga, mwl Mbuya, mwal Kagisa, mwl Kasdam muhindi, mkiingia asubuhi gate likifungwa hakuna kutoka mpaka saa sita kwenda kula mchana darasa linaendelea. Those days njooni wakongwe tukumbukane. Asubuhi sala oh God ur greater...
Wote nyie cha mtoto, waliomaliza std 7 1977 wajitokeze. Mariam saidi, Pauleta Nyerere, Asumpa ndeji, Gladys Butiku, Robert Jana, Semu Mwaijande, Fortunata Makafu, Richard Kashinde, Eliza Guveti. Walimu Josephne Mahiga, mwl Mbuya, mwal Kagisa, mwl Kasdam muhindi, mkiingia asubuhi gate likifungwa hakuna kutoka mpaka saa sita kwenda kula mchana darasa linaendelea. Those days njooni wakongwe tukumbukane. Asubuhi sala oh God ur greater...
Haya nawe ujue una wakubwa wako sisi wa std 7 (1973) Mwalimu wetu Mkuu alikuwa Mrs Simkoko hebu waje hapa Mpeli Nsekela,Grace Mushi,Richard kusiga,Nuru Omari,Eva saidi,Joyce Mwombela,Regina Mariale,Tirio Mango,Samuel Milinga,Rosemary Nyerere,Mwinyi Mangara,Veneranda Luhanga,Princely Muro,Humphrey Omary,hawa wengine nawakumbuka kwa jina moja nao ni Parkimelo,Patrick (alikuwa anaishi kigamboni),Ndunguru,Generoza, Philomena na mwisho kulikuwa na wachina walikuwa wanaishi keko majina nimewasahau.
haya mpo hapo!
Dah yani hta cjui yuko wapi niliwahi kukutana naye muda mrefu sn kene basi yeye alikuwa anaelekea chuo cha cbe ndipo alipokuwa anasoma.kwa sasa cjui tena yuko wapi as tulipotezana kimawasiliano
Aisee...nataka niwatrace karibu wote tukutane.ambao tunawasiliana hawapungui ishirini.lily nyamanzawa nimempata mwaka jana mwishon nadhan,unamkumbuka?
Duh wewe lazima tutakuwa tunajuana
Norma Mushema alifariki akiwa form 2 Kisutu girls,na Wito Shelukindo pia alifariki 2009 kama sikosei. May their souls RIP.
Wote nyie cha mtoto, waliomaliza std 7 1977 wajitokeze. Mariam saidi, Pauleta Nyerere, Asumpa ndeji, Gladys Butiku, Robert Jana, Semu Mwaijande, Fortunata Makafu, Richard Kashinde, Eliza Guveti. Walimu Josephne Mahiga, mwl Mbuya, mwal Kagisa, mwl Kasdam muhindi, mkiingia asubuhi gate likifungwa hakuna kutoka mpaka saa sita kwenda kula mchana darasa linaendelea. Those days njooni wakongwe tukumbukane. Asubuhi sala oh God ur greater...
Marahabaa kijana wanguhahahahahaha....shkamoo mkubwa.