mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,835
- 106,037
Habari yenu wanaJF,
Kama kuna wanaJF waliosoma shule ya msingi Forodhani na kumaliza 1992 au 1993 tujulishane.Nakumbuka mwalimu alikuwa mwalimu Mbuya,kuna baadhi ya walimu kama mwalimu Julius dah huyu alikuwa anachapa bakora hatari.
Kulikua na mwalimu James huyu alikuwa kama bondia,mwalimu Manyama, mwalimu Matata hao ni baadhi ya maticha tu.
Kitu kingine nachokumbuka ni ile mihogo ya kule baharini mnaikumbuka? Kingine ninachokumbuka tulikuwa tunafanya somo la ushonaji kulikuwa na sista mmoja wa kijerumani mfupi alikuwa mkali kama pilipili.
Hapo shuleni hapo kila Jumatano au Ijumaaa ilikuwa inakuja gari la matunda tunajisevia.
Elimu ilikua bora ada ilikua chini.Nakumbuka hadi huyu mtoto wa mkulu sasa hivi mwenye mambo mengi tulikuwa naye hapo shule.
Kwa kusema ukweli naikumbuka sana Forodhani shule ya msingi, kingine nachokumbuka wapinzani wetu wakuu walikuwa bunge shule ya msingi.
Kuna wanafunzi kama Alex Kitomari (RIP),Walter Mazula (RIP) na wengine baadhi yao wako mpaka leo.
Kama ulisoma hapo changia kumbukumbuku zako na wewe.
Naimis shule hiyo...never be the same again.
Natanguliza salamu.