hapana mkuu!!!toka lini hatunae tena?Marahabaa kijana wangu
vijana mliokuwa mkisoma wakati Mwl Fadhili Saiwad akiwa mkuu wa shule mna taarifa kuwa amefariki?
hapana mkuu!!!toka lini hatunae tena?
Mungu amlaze pema mwal Saiwad
Haya nawe ujue una wakubwa wako sisi wa std 7 (1973) Mwalimu wetu Mkuu alikuwa Mrs Simkoko hebu waje hapa Mpeli Nsekela,Grace Mushi,Richard kusiga,Nuru Omari,Eva saidi,Joyce Mwombela,Regina Mariale,Tirio Mango,Samuel Milinga,Rosemary Nyerere,Mwinyi Mangara,Veneranda Luhanga,Princely Muro,Humphrey Omary,hawa wengine nawakumbuka kwa jina moja nao ni Parkimelo,Patrick (alikuwa anaishi kigamboni),Ndunguru,Generoza, Philomena na mwisho kulikuwa na wachina walikuwa wanaishi keko majina nimewasahau.
haya mpo hapo!
Sidhani kama ipo si ilikuwa inatazamana na ile bookshop ya st joseph.Nitakupa jibu nikienda pale California pub kunywa maji.
Ameen, Mwl alifariki mwaka huu mwanzoni mwa mwezi January
sasa nawewe chamtoto tuliosoma hapo 1965 tupo kimya. Ila nachokumbuka kipindi hcho tulikuwa tunakula mihogo na samaki wa pale feri posta ya zamani. Kipindi hicho ilikuwa raha sana
Sijui na ile ice cream yao ya karanga kama bado ipo...
Ipo.
Na wafanyakazi ni wale wale wa zamani ila wamezeeka tu kwa sasa. New comers ni wachache.
Kwi kwi kwi teh teh teh
Daresalaam hii kuna watu hawaijui hiyo ice cream ya karanga
kama ambavyo hawajui Dar hii zamani UDA walikuwa na tiketi za mwezi
au Dar kulikuwa na Drive inn cinema
watu wanaenda Ulaya wanavikuta huko wanafikiri vipya
cc Honey Faith Nyani Ngabu miss strong
Usikute hata mtaa wa Independence hawaujui. Wanaweza wakakesha wanakubishia huo mtaa haujawahi kuwepo.
Ukiwaambia habari za soko la maTX wanaweza wakakuona we mzushi tu.
Habari za mashirika ya umma na taasisi za serikali kuwa na daycare zao zinaweza zikawa ni habari mpya kabisa kwao.
Ukiongelea mambo ya kula bata hotel ya Bush Trekker ndo kabisa watakuona we wakuja.
Ukikumbushia askrimu na mikate ya Bakhresa wao wanakuuliza mambo ya Azam.
Kampuni za Kajima na Konoike au hata MECCO tu kwao huenda ni usiku wa kiza!
Dar ina wenyewe hii bana......
Hahaa ndi ilivyo
watu wanajua mlimani city na quality plaza ukiwauliza empire na starlight....wanakushangaa
Au New Chox na Empress....
Unaikumbuka Empire video store?
Halafu kuna video store moja hivi ilikuwepo mitaa ya Upanga....ilikuwa inawahi sana kuzipata movie kalikali.
Jina tu limenitoka....
Sijui na ile ice cream yao ya karanga kama bado ipo...[/QUOTE
Boss hapo snow cream walikuwa na ice cream nizipendazo mimi
1.Banana split
2.Pineapple sundae
Mmenikumbusha the good old days
Nazikumbuka zote Odeon na New chox...hiyo ya upanga pia nimesahau jina..
back in the days.....mimi huwa nalikumbuka yale majengo ya zamani ya Samora
ilio J M Mall now.....yaani dah...
Boss hapo J M Mall palikuwa na majengo na maarufu sana Lehmann's ila mbona Avalon cinema umeisahau?,hebu nikupe homework kidogo, niambie kulikuwa na ice cream shop hapo Avalon cinema unaikumbuka ilikuwa inaitwaje?
Haya nawe ujue una wakubwa wako sisi wa std 7 (1973) Mwalimu wetu Mkuu alikuwa Mrs Simkoko hebu waje hapa Mpeli Nsekela,Grace Mushi,Richard kusiga,Nuru Omari,Eva saidi,Joyce Mwombela,Regina Mariale,Tirio Mango,Samuel Milinga,Rosemary Nyerere,Mwinyi Mangara,Veneranda Luhanga,Princely Muro,Humphrey Omary,hawa wengine nawakumbuka kwa jina moja nao ni Parkimelo,Patrick (alikuwa anaishi kigamboni),Ndunguru,Generoza, Philomena na mwisho kulikuwa na wachina walikuwa wanaishi keko majina nimewasahau.
haya mpo hapo!
Huyu Princely Muro alijinyonga ktk garage huku USA,miaka ka mitano iliyopitaHaya nawe ujue una wakubwa wako sisi wa std 7 (1973) Mwalimu wetu Mkuu alikuwa Mrs Simkoko hebu waje hapa Mpeli Nsekela,Grace Mushi,Richard kusiga,Nuru Omari,Eva saidi,Joyce Mwombela,Regina Mariale,Tirio Mango,Samuel Milinga,Rosemary Nyerere,Mwinyi Mangara,Veneranda Luhanga,Princely Muro,Humphrey Omary,hawa wengine nawakumbuka kwa jina moja nao ni Parkimelo,Patrick (alikuwa anaishi kigamboni),Ndunguru,Generoza, Philomena na mwisho kulikuwa na wachina walikuwa wanaishi keko majina nimewasahau.
haya mpo hapo!
Huyu Princely Muro alijinyonga ktk garage huku USA,miaka ka mitano iliyopita