Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Hivi mnamkumbuka Alice lobo YULE muhindi mjinga darasani anahonga afanyiwe hesabu.Hamza juma kwa mademu tobaaa.Sada shaha,Kerin chonya,Martha mpangile,Clara ,lilian tairo,salama Mohamed ,modi Gaye ,kiyeyeu mwakawago,Ahmed Elmaamry ,Emma kiando.
 
Insha Allah Amiin, ni kweli Mwl wenu alipata stroke then the condition didn't get better mpaka anafariki

Jamanii Saiwaad amefariki kumbe.....may Allah rest his soul in eternal peace,alikuwa handsome wa ukweli
 
Hivi mnamkumbuka Alice lobo YULE muhindi mjinga darasani anahonga afanyiwe hesabu.Hamza juma kwa mademu tobaaa.Sada shaha,Kerin chonya,Martha mpangile,Clara ,lilian tairo,salama Mohamed ,modi Gaye ,kiyeyeu mwakawago,Ahmed Elmaamry ,Emma kiando.

Umemaliza mwaka gani mkuu?
 
Mna kumbukumbu nzuri sana. Mimi nilimaliza std 7A hapo mwaka 1988. Ngoja nione km nami nitakumbuka japo wachache. Tulikuwa na Uno Tarimo (RIP) Lenguyana leandri, Albogast Njuu, Ngao Sambera (RIP) Laurian Thadeus , Irene Noa, Tina Riwa, John Riwa, Esuvat Molel na twin wake Nengai (B), Hilda Karau,Joyce Matumula, Milen Ringo, Goa digalo, Hamza Juma, Hidaya (mtoto wa mwl Mohamed) Neema, Jane Panja, Pamela charles, Edward Chelangwa, Bhoke Matiku.
wengine wa madarasa mengine; Nengai king'ori, Wito Shelukindo, Norma Mushema, Ahmed Elmaamary, Sioi Solomon( huyu ndo kaoa binti Lowasa) Rogate Matumla(1986) Sumitra, Japhet Kirita, Carol Kirita, Lulu January . Hao baadhi ya wanafunzi nawakumbuka.
Sr. Edigara ametusaidia sn kushona kwakweli, mwl JJ masiga, mwl Tarimo, Msaki, Barongo(RIP) , Mama Mbuya. Yote tisa kumi ni Pale tulipokuwa tunapangwa barabarani wanapokuja viongozi wageni. Au tulupokuwa tunasikia ving'ora vya magari yanayopitisha watuhumiwa wa kesi ya uhaini tulikua tunavisikia sn. Pia kulikua na mambo ya chipukizi, kina Denis Tairo km sikosei walikuwa viongozi. Ile school band ndo usiseme. Mwaka 1984 nakumbuka tulikua tunapewa maziwa , yaani ilikua raha tupu kwakweli.
waw unakumbukumbu balaa
 
Dah mmenikumbusha mnoo, MI nakumbuka mwal Msaky alikuwa anamtindo wa kucheki usafi wa chupi mkiwa darasa la2,bac Siku hiyo kila mtu atavaa vzr na kujichekesha Sana. Afu nakumbuka toka daras la kwanza tilikuwa twaongoza Na Emmanuel Lugina sijui yupo wapi Siku hiz? Afu alikuwa na dada yake anaitwa Marry Maximilian akiongiza darasa LA Nyumba yeti. Afu kuna toto tundu alikuwa mbele yetu anaitwa Gerald kondowe sijui yupo wap?
 
Mimi nimemaliza 2001... imenifanya kujua mitaa ya posta sana. Great adventure
 
Back
Top Bottom