Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

masoud muuza pipi alienda wapi?
mpwaa.masoud ulimpigaaa kama mm ile dhambi nilitubu sana nkakona nimesamehewa

kuna.mwamba yule wa magazeti kwenye kona kwa wale mliokuwa mnasubiri mabasi mmoja.wapo alifariki..mmesoma magazeti ya bire sanaa
 
Habari yenu wanaJF,

Kama kuna wanaJF waliosoma shule ya msingi Forodhani na kumaliza 1992 au 1993 tujulishane.Nakumbuka mwalimu alikuwa mwalimu Mbuya,kuna baadhi ya walimu kama mwalimu Julius dah huyu alikuwa anachapa bakora hatari.

Kulikua na mwalimu James huyu alikuwa kama bondia,mwalimu Manyama, mwalimu Matata hao ni baadhi ya maticha tu.

Kitu kingine nachokumbuka ni ile mihogo ya kule baharini mnaikumbuka? Kingine ninachokumbuka tulikuwa tunafanya somo la ushonaji kulikuwa na sista mmoja wa kijerumani mfupi alikuwa mkali kama pilipili.

Hapo shuleni hapo kila Jumatano au Ijumaaa ilikuwa inakuja gari la matunda tunajisevia.

Elimu ilikua bora ada ilikua chini.Nakumbuka hadi huyu mtoto wa mkulu sasa hivi mwenye mambo mengi tulikuwa naye hapo shule.

Kwa kusema ukweli naikumbuka sana Forodhani shule ya msingi, kingine nachokumbuka wapinzani wetu wakuu walikuwa bunge shule ya msingi.

Kuna wanafunzi kama Alex Kitomari (RIP),Walter Mazula (RIP) na wengine baadhi yao wako mpaka leo.

Kama ulisoma hapo changia kumbukumbuku zako na wewe.

Naimis shule hiyo...never be the same again.

Natanguliza salamu.
Mimi hiyo shule nilikuwa naiona tu maana nilikuwa napita kwa miguu kuelekea salamander,na wakati mwingine nilikuwa naenda kwenye gazeti la motomoto kupiga soga
 
Nimefurahi sana hiithread mi nilimaliza 1993

Jamani sisi kimathi yuko wapi

Cc fina

Popote ulipo
P didy kumbe umekula chumvi nyingi aiseee..!! 😹😹

Wewe mjinga km ulianza shule na miaka 10 unanizaa 🤣
 
Ingawa Nimetoka ila mwenyeshida na airport ya JNIA
Sio kupitisha mambo ya azania lakiinii

Aah

Hata porter nakusaidia ndio umuhimu wakuwa Huku
P didy bado upo JNIA 😹
 
Habari yenu wanaJF,

Kama kuna wanaJF waliosoma shule ya msingi Forodhani na kumaliza 1992 au 1993 tujulishane.Nakumbuka mwalimu alikuwa mwalimu Mbuya,kuna baadhi ya walimu kama mwalimu Julius dah huyu alikuwa anachapa bakora hatari.

Kulikua na mwalimu James huyu alikuwa kama bondia,mwalimu Manyama, mwalimu Matata hao ni baadhi ya maticha tu.

Kitu kingine nachokumbuka ni ile mihogo ya kule baharini mnaikumbuka? Kingine ninachokumbuka tulikuwa tunafanya somo la ushonaji kulikuwa na sista mmoja wa kijerumani mfupi alikuwa mkali kama pilipili.

Hapo shuleni hapo kila Jumatano au Ijumaaa ilikuwa inakuja gari la matunda tunajisevia.

Elimu ilikua bora ada ilikua chini.Nakumbuka hadi huyu mtoto wa mkulu sasa hivi mwenye mambo mengi tulikuwa naye hapo shule.

Kwa kusema ukweli naikumbuka sana Forodhani shule ya msingi, kingine nachokumbuka wapinzani wetu wakuu walikuwa bunge shule ya msingi.

Kuna wanafunzi kama Alex Kitomari (RIP),Walter Mazula (RIP) na wengine baadhi yao wako mpaka leo.

Kama ulisoma hapo changia kumbukumbuku zako na wewe.

Naimis shule hiyo...never be the same again.

Natanguliza salamu.
Sasa hawa ni wababu
 
KUNA MADADA NDUGU
Jackline ma Josephine kombe wapo naooo??
 
Back
Top Bottom