Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Mi nilimaliza 1989 ,mpoooo LY 89????
Nipo nimemaliza 1989 nawakina ahmed elmaamry,sio Solomon , mringi shayo, sada shaha ,kerin chonya, Martha mpangile,Clara Phillip,Margreth igata,Lilian tairo,Alice lobo , mang'enya,Jemina Gondwe,Zakia dindili .Wana group uko whattsup
 
Dah mmenikumbusha mnoo, MI nakumbuka mwal Msaky alikuwa anamtindo wa kucheki usafi wa chupi mkiwa darasa la2,bac Siku hiyo kila mtu atavaa vzr na kujichekesha Sana. Afu nakumbuka toka daras la kwanza tilikuwa twaongoza Na Emmanuel Lugina sijui yupo wapi Siku hiz? Afu alikuwa na dada yake anaitwa Marry Maximilian akiongiza darasa LA Nyumba yeti. Afu kuna toto tundu alikuwa mbele yetu anaitwa Gerald kondowe sijui yupo wap?
Emmanuel Lugina nasikia ni daktari bingwa
 
Nipo nimemaliza 1989 nawakina ahmed elmaamry,sio Solomon , mringi shayo, sada shaha ,kerin chonya, Martha mpangile,Clara Phillip,Margreth igata,Lilian tairo,Alice lobo , mang'enya,Jemina Gondwe,Zakia dindili .Wana group uko whattsup
Lilian Tairo namkumbuka sana. Alikuwa na tako balaa.
Nasikia yupo Marekani.
Siku hizi anaitwa Lilian Fisher nadhani
 
Nipo nimemaliza 1989 nawakina ahmed elmaamry,sio Solomon , mringi shayo, sada shaha ,kerin chonya, Martha mpangile,Clara Phillip,Margreth igata,Lilian tairo,Alice lobo , mang'enya,Jemina Gondwe,Zakia dindili .Wana group uko whattsup
Clara Phiri yupo wapi?
 
Poleni sana alimaliza mwaka gani pale forodhani?

Una picha yake?
Picha sina na sijui alimaliza lini ila inaonekana alikuwa kijana wa mjini na niliona jana yule mwana Twitter, Bi. Carlos Ndosi amepost kama mzazi mwenzake kwamba amefariki ndo nikakumbuka huu uzi

Pia kuna uzi chini hapa niliona huenda info zaidi zitapatikana

Kupindi hicho yuko ada Estate anakaa tulikuwa ma best sana

Ova
 
Yupo Mwalimu Hassan Mbazigwa? Mwalimu Kauta? Mwalimu George?
 
Nipo nimemaliza 1989 nawakina ahmed elmaamry,sio Solomon , mringi shayo, sada shaha ,kerin chonya, Martha mpangile,Clara Phillip,Margreth igata,Lilian tairo,Alice lobo , mang'enya,Jemina Gondwe,Zakia dindili .Wana group uko whattsup
wako hai badooo??
 
Back
Top Bottom