una msema steven msaki...steve yupo tuna wasiliana hadi leo yupo mbezi beach
Neema na rehema...wako wapi siku hizi?
kama sikosei wale walienda canada long time walipo maliza shule ya msingi wakasepa....
haya mna mkumbuka joseph rubambe ila huyu yuko dar....
Ahaaaa jamani mmenikumbusha mbaaali sana mwalm kimath na mwalim matata nawakumbuka sana afu kuna mwalim wa kiingereza anaitwa jina la mwisho tu ndo nalikumbuka 'nyalika' cjui pia km niko sahihi ila huyu teacher niliwahi kumuona wkt nikiwa chuo pale UDSM naona baadae aliamua kujiendeleza kielim
Mi nilimaliza forodhani p/s mwaka 1999 ila nakumbuka mambo mengi sana na yakufurahisha like chips dume na sanvita ndo nilikuwa navifikiria sana mara tu ifikapo break lol time to remember
Mwalimu mwalongo mmemsahau?
Na yule mwane Mathew, ana bonge la kichwa
uwiiii...wapi teacher mkuu Fadhili Saiwadi.
wapi Mangi muuza chipsi, wapi babu jinga na ice cream zake., Masoud wa pipi.
wapi teacher Mwalongo, teacher Kimath, Chuma, Jamani mwl James amefariki???!!!!!! R.i.p
CC: Natalia
Sunvita nazikumbukaje.
Jamani Snow cream.....karibu na Tahfif
Jamani Saiwadi alikuwa mzuri....kama pedeshee fulani enzi hizoooo!!!
huyu saiwadi yupo tu kimara,ni mgonjwa sasa na ameanza kupoteza kumbukumbu.
bado yupo na uzuri wake' japo kuumwa ndo kumemfanya achoke.
Alikuwa mzuri yule.mwalimu mkuu, kwa kuwa ni kizazi kile, ingekuwa kizazi hiki, angewachapa sana wanafunzi
bado yupo na uzuri wake' japo kuumwa ndo kumemfanya achoke.
Alikuwa mzuri yule.mwalimu mkuu, kwa kuwa ni kizazi kile, ingekuwa kizazi hiki, angewachapa sana wanafunzi
Kumbe Forodhani tuko wengi humu tuliomaliza la saba 1993....!Marahaba madame B