Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Wallirudi mwaya jama wakachukua jumla

Cc:Mugima NYAMASAGALA

Kuna. Dada mmoja walimpigaga mande mfupimweupe mnamkumbuka
Dah aliyajua mambomapemakwelli

Mimi nilimaliza Bunge, ila nilikuwa na marafiki "Foro" wakina Rizmoko, Peter Mzuka anaishi USA, Mvumo, Walter nk.
Huyo demu alikuwa sekondarijina Salma Me....... Mama yake ni former Finance Minister
 
kuna jamaa mmoja alikuwa anasoma bunge anaitwa moses alikywa bishoo alikua anawafata madem forodhani alikuwa anakaa ada estate kino....utakua unampata
 
nime msahau huyu dada jaqline ntabaile tulikuwa naye naye forodhan ......
 
Jembe Moses Sarakikya............hahahahhah acha kabisa habari za huyo jamaa ni balaa alikuwa those days
 
kuna jamaa mmoja alikuwa anasoma bunge anaitwa moses alikywa bishoo alikua anawafata madem forodhani alikuwa anakaa ada estate kino....utakua unampata

Aiseenamkumbuka ajafa hivii???alikuwa anapiga neemanarehema
 
kuna wakati aliendaga ulaya baada ya kumaliza la saba, jamaa walimfunga sijui alibaka dem huko jama mikasa yake ni madem tu
 
Yap lakini amerudi bongo he is family man siku hizi naona amekua......ila sijaonana nae kitambo ila ni dealer wa magari kama sikosei kwa sasa
 
Jembe Moses Sarakikya............hahahahhah acha kabisa habari za huyo jamaa ni balaa alikuwa those days

Bidhaa adimu ilikuwa

Nahisi alikuwa anameza VIAGRA ZA MAREKANI

kwa umri ule asingekuwa na nguvu kama ops tokomeza......mizigo
 
Yap lakini amerudi bongo he is family man siku hizi naona amekua......ila sijaonana nae kitambo ila ni dealer wa magari kama sikosei kwa sasa

Mola amtie nguvu

Kwa speed Ile na age Ile nauhakika alikuwa ametengenezea operations yake ya ops tokomeza

"""Bikira""""""

Sijajua mpaka Leo nani alikuwa mfadhiliwake hivi Ana undugu na mzee sarakikya Yule mjeda watu???
 
Mimi nilimaliza Bunge, ila nilikuwa na marafiki "Foro" wakina Rizmoko, Peter Mzuka anaishi USA, Mvumo, Walter nk.
Huyo demu alikuwa sekondarijina Salma Me....... Mama yake ni former Finance Minister

Yalaaah Napita mieeee
 
kuna wakati aliendaga ulaya baada ya kumaliza la saba, jamaa walimfunga sijui alibaka dem huko jama mikasa yake ni madem tu

Kuna jamaa anaitwa isack .....sikumbuki ubiniwake alikuwa kagera ingawa naonawengi nawakumbuka mnaochangia mlikuwa mnaishia morroco/magomeni kwenda juu theethee

Huku manzese...tabata...kimara...Mbona siwasikii amaa ni rip

Embu tukumbushen mlivyokuwa mkitoka mnapishana na kuna.Alex..peter milango ya magari jmefunguliwa wanaingia unabamizwa puuuu kama ipi siku atutokujanunua magari jamani wale wamanzese....nk tunakunja kushoto kuitafuta mihogo kule chini Loh na una Njaa umalize.nauliyote hatasisemi mwaya unaingia kwenye basi huku unasoma rozari konda asikuone....Ukiona anakaribiakwako na unashuka Eg.
. ubungo unaamua kushuka stendi ya mkoa utembee to ubungo kuogopa aibu

Kweli MUNGU wa ajabukabisa
 
Back
Top Bottom