Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

You are not serious!

Can you tell me all who live at Tandika they havenot phone?

Btw, uwe na jioni njema + usiku mwema!

Anaogoppa. Kutongozwa uzeeni

Ulimkosa primary aje kuiachia. Leo tandika lo hata mie siji Labda sogeasogea urafiki nimtiemoyo aje
 
unawakumbuka neema na rehema wale twins dah walisumbuaaaa sana shule wakati kuingiza verse huwezi domo zege mtu ila knw days watoto ahhh balaaaa

Wale awakusumbua wallikuwawanagawa kwa kuangalia ukitoka getini unaondoka na gari ama unaenda kulebaharini Kula urojo

Ungekuwa umemwomba hatamjombawako akuchukue mwezimzima nagari ungepita sema thosedays wakina

Pakata peter

Alex kitomari

Steven msaki

Na wachache ndiowalikuwawanapishana na magari getini sie mpaka ule mihogo umalize nauli kumwomba konda awakuitaji shida za ujanani ingawa walipo sasas wanasikiia jotoyjiwe
 
Hivi Steven yuko wapi now days nilimwonaga bar moja topgarage yuko njwaa anarushiana maneno na mkeeewe saa Saba maskinii huku vidosho vingine vinashangilia pembeni Steve mpehuyo mpe akalale asubiri cha nyumbani
He
Sikuelewa cha Nyumbani kipi
Ugeninii kikoje
 
Huyo atakuwa ni Abunuwas Msusa, ila sikumbuki kama alikuwa kaka mkuu.
Ngao alifariki miaka zaidi ya 5 iliyopita. Alifia muhimbili, alikuwa na tatizo la nyama zimeota puani, akawa afanyiwe operation. Huwezi amini alienda mwenyewe , akiwa ana drive gari yake, akapack na kuingia hosp. Bahati mbaya sana hakuamka tena... Soo sad.

Oohh Sosad

Mamangina
 
Aisee. so sad. Alikuwa mtundu sana tukiwa shule. Mamayake alihangaika nae sana. RIP

Sanasanaa alikaribiakumfanyamamake awe mwehu hata

sayansikimu alikuwa anafundisha huku anawazamwanae maskini
 
Nyie wote cha mtoto. Tuulizeni sisi tuliomaliza 1977. Lakini leo mmenishangaza mwl Mbuya tulimuacha. Tulikuwa na mwi Kassam muhindi. Mwl Kagisa. Josnphne Mahiga. Waliomaliza mwaka huo na ambao wapo wajitaje. Kaka mkuu wakati huo aliitwa sostenes wa Musoma. Sister Edgara cooking na needle work. Sister Clara dini. Those good days

Mmmh we utakuwa ulichapa walimuwetu Loh
Ngoja nisave hili jina nisisuthubutu kunijibu
Sallimiaa familia
 
Pole sana Pdidy

Thx vyangu

Ningetamani huu umoja tuwenao kwenye shida Raha

PENGINE kuna wanaotafutakuolewa Bado kupitia umoja huu wakakutana na wenzetu walioachika tukafanya mixer ya maanaa

Usingle shuguli jamani asikwambienmtu
 
Kwanzaa nawashukuru walioniombea Nimefika ssalama arusha

leo nataraji kumuaga dadayangu mtmeru hosp
tumpeleke marangu kwenye nyumbayakeyamilee Bado na long jny

Pole na msiba mkuu.
 
Kuna rumors Assenga aligongwa na njemba moja hv mwanafunzi. Jamaa alikuwa jibaa kishenzi. Darasa alilokiwa anasoma ni lile karibu na wauza chips karibu na vyoo vya kiume.

The king.

hiyo rumor hata sijui,nilianza shule mdogo aisee,na nlipotoka pia nilikuwa bado kwa kweli,nlimaliza na 14yrs.
 
Du! mkuu mleta mada ahsante kwa kutukumbusha.

Nafikiri Forodhani ilikuwa ni moja ya shule maarufu sana lakini ngumu kupata nafasi kama ilivokuwa Bunge na Muhimbili.

Pia ilikuwa na sifa kwamba ni shule ilokuwa na uwezo wa kuchukua watoto wa kutoka kwenye familia za wenye uwezo na hata wale wa kutoka kwenye maisha ya kawaida tu.

Mimi nilikuwa katika moja ya madarasa ya kwanza ya A na B yaloanza mwaka 1983 baada tu ya kumaliza vidudu pale kwenye vijumba vilivyokuwa katikati ya shule.

Walimu tulokuwa nao wakati ule walikuwa ni walimu hasa na si walimu wa leo, kwani walikuwa wanafanya kitu kizuri kuimarisha misingi ya kwenda nayo maishani iwe kuendelea na kidato cha kwanza au kwenye vyuo vya ufundi.

Mwalimu Mbazigwa Hassan alikuwa ni mwanaharakati na siasa ilimkaa mwalimu yule na hasa nyimbo zake za uhamasishaji kama ule wa Amandla Ngawethu na ule alokuwa akitaka tuseme kila asubuhi kama ule wa "Our Motto is peace to All, we are! goodmorning sir".

Mwalimu Julius na fimbo zake za kila asubuhi kabla hajaanza kufundisha ndio ilikuwa ni sifa yake kuu. Hivyo kila mnapoanza mwaka kwenda pale darasa la tano pale kwenye kona chini au kule juu. mnakuwa mnajiandaa kwa fimbo za asubuhi asubuhi.

Kulikuwa na mzee Mselem ambae mihogo yake ya kuchemsha na kachumbari ilikuwa kiboko na alipoondoka yeye nadhani ndio akaja Mangi.

Nafikiri Mangi alipata bahati ya kuwa pale kukaanga viazi kwa sababu ya Mwalimu mkuu mama Mbuya. Yule mama alikaa kiualimu hasa na hakuwa na mchezo.

Walimu wote walotajwa walikuwa walimu hasa na sidhani kama hawa walimu wa leo wa shule za msingi wana uwezo kama ule wa wale walimu wa wakati ule.

Mwalimu Matata alikuwa na tatizo moja, alipokuwa akiandika ubaoni hakutaka mtu aongee na nafikiri alikuwa na tabia ya kujihisi kiaina kwamba labda watu wanamzungumzia.

Mwalimu Nyalika ambae alikuwa akifundisha Kiingereza nilipenda swali lake la "isn't it" alipomaliza kuelezea sentensi au kuelezea jambo. Alikuwa na wanawe palepale akina Timothy.

Mwalimu Manyama alikuwa mkali sana kama mwalimu sister Kimathi ambae alipenda kufinya. Mwalimu Manyama alipenda kutoa nasaha na sera nyingi juu ya mkosaji na hata kuweza kukwambia kwamba kama "ukifeli darasa la saba utakuwa mgeni wa nani".

Kuna akina Mwalimu Bange ambae alikuwa ni mpole lakini mkali wa hesabu, Mwalimu Ruta, Mwalimu Msaki, na walimu wengi tu walokuwa wanachangia kile chumba cha walimu kule juu au Staff Room.

Jamani mnakumbuka tulikuwa tukigawiwa madaftari na maziwa ya bure kabla ya kufutwa tulipoingia darasa la nne kama sikosei.

Pia tulikuwa tukienda kanisani kila jumatano St Joseph na ukichelewa inakuwa bahati yako kwani watu wanakuwa kanisani.

Halafu kuna anaekumbuka yule mwenzetu ambae aliingizwa chupa kichwani kwenye mazingaombwe ambayo yalikuwa yanaenda na wimbo wa dekidekidedee!

Nje ya shule nakumbuka Tanzania Elimu Supplies ambako tulipata madaftari na mikebe ya rula. Snow Cream na Salamander.

Ni mambo mengi sana kwa kweli ya kukumbuka.

NB:
Richard anaishi katika moja ya nchi za Ulaya na yupo huko tangia mwaka 1998

umeni kumbusha mbali sana sanaaaa mwl mbazigwa alikuwa mwanaharakati wa ukweli alikuwa anajua kuhamisha mambo duh umeni furahisha sanaa ndomana nmeuleta uzi huu tuzidi kumbashana
 
Hivi Steven yuko wapi now days nilimwonaga bar moja topgarage yuko njwaa anarushiana maneno na mkeeewe saa Saba maskinii huku vidosho vingine vinashangilia pembeni Steve mpehuyo mpe akalale asubiri cha nyumbani
He
Sikuelewa cha Nyumbani kipi
Ugeninii kikoje
una msema steven msaki...steve yupo tuna wasiliana hadi leo yupo mbezi beach
 
steven msaki alikuwa na mdogo wake pricela msaki, kuna jamaa alikuwa anaitwa jerry mbwile jerry alikuwa ana mzengea precela dah steve alikuwa ana mmind jerry kna siku tuna rudi home wacha steve amzingue jerry.....nomaaaaa@....pdidy
 
Naniliona unamrushiaga madongokama mkweo ndiomana naogopakujibu mtu ovyo ata akiniuzi navumilia

Lo

daah na kweli mkuu inabidi uwe na ustahamilivu,,,kuna watu wazima sana humu sema na wao wanavyojitoa ufahamu sasa!!
 
Wale awakusumbua wallikuwawanagawa kwa kuangalia ukitoka getini unaondoka na gari ama unaenda kulebaharini Kula urojo

Ungekuwa umemwomba hatamjombawako akuchukue mwezimzima nagari ungepita sema thosedays wakina

Pakata peter

Alex kitomari

Steven msaki

Na wachache ndiowalikuwawanapishana na magari getini sie mpaka ule mihogo umalize nauli kumwomba konda awakuitaji shida za ujanani ingawa walipo sasas wanasikiia jotoyjiwe

kwikwikwi mimi nilikuwa mzee wa lifti tu nkikosa lifti napanda uda au chai maharage.......
 
steven msaki alikuwa na mdogo wake pricela msaki, kuna jamaa alikuwa anaitwa jerry mbwile jerry alikuwa ana mzengea precela dah steve alikuwa ana mmind jerry kna siku tuna rudi home wacha steve amzingue jerry.....nomaaaaa@....pdidy

Yule yuko USA

Kama ni Yule dada yakekembamba kazuriiiiiiiiiiii kama uaalawaridiiiiii
 
daah na kweli mkuu inabidi uwe na ustahamilivu,,,kuna watu wazima sana humu sema na wao wanavyojitoa ufahamu sasa!!

Nimeshawahi kumtukana Bosi humundani hatahamu sina

Bahati ananijua ila akatengenezajinala kijf weee

Nikampa sikjmoja akanipm anacheka akatuma dongo

Hatamimi
Rgds
DG

weee. Humu siko
 
Wale awakusumbua wallikuwawanagawa kwa kuangalia ukitoka getini unaondoka na gari ama unaenda kulebaharini Kula urojo

Ungekuwa umemwomba hatamjombawako akuchukue mwezimzima nagari ungepita sema thosedays wakina

Pakata peter

Alex kitomari

Steven msaki

Na wachache ndiowalikuwawanapishana na magari getini sie mpaka ule mihogo umalize nauli kumwomba konda awakuitaji shida za ujanani ingawa walipo sasas wanasikiia jotoyjiwe

Neema na rehema...wako wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom