Madogo wa dogodogo centre nilikuwa nawaogopa sana.
uwiiii...wapi teacher mkuu Fadhili Saiwadi.
wapi Mangi muuza chipsi, wapi babu jinga na ice cream zake., Masoud wa pipi.
wapi teacher Mwalongo, teacher Kimath, Chuma, Jamani mwl James amefariki???!!!!!! R.i.p
CC: Natalia
Sunvita nazikumbukaje.
Jamani Snow cream.....karibu na Tahfif
Bado yupo???daaah nahis walimu wengine watakuwa wizaran sasa hv.Kulikuwa kuna mwalimu ana mashauz huyo hatar anaiwa Assenga.Ni shidaaaa ilikuwa
Huyo Damian alikuwa kaka yake na Rose Luena???nae alisoma forodhani
Mwaka juzi bana
Pepoo la GOngo lilimwandama mpaka likayala mainiyote akaaenda
Mkuu basi mi pia ni class mate wako wengine hujawataja ni yule mzungu ana akili sana Max Magao,Lusiu peter, Fatima,Clara Furaha kitule ,Methew Mbaga etchahaha..dah!rose n paul luena nilikuwa nao darasa moja toka la kwanza.wapi maulid ally,bohora,aman peter,peter malunda,joymaria mazura,emy francis,noel shiyo.dah!mwal onike,kalabo,mushi,chuma
Mna kumbukumbu nzuri sana. Mimi nilimaliza std 7A hapo mwaka 1988. Ngoja nione km nami nitakumbuka japo wachache. Tulikuwa na Uno Tarimo (RIP) Lenguyana leandri, Albogast Njuu, Ngao Sambera (RIP) Laurian Thadeus , Irene Noa, Tina Riwa, John Riwa, Esuvat Molel na twin wake Nengai (B), Hilda Karau,Joyce Matumula, Milen Ringo, Goa digalo, Hamza Juma, Hidaya (mtoto wa mwl Mohamed) Neema, Jane Panja, Pamela charles, Edward Chelangwa, Bhoke Matiku.
wengine wa madarasa mengine; Nengai king'ori, Wito Shelukindo, Norma Mushema, Ahmed Elmaamary, Sioi Solomon( huyu ndo kaoa binti Lowasa) Rogate Matumla(1986) Sumitra, Japhet Kirita, Carol Kirita, Lulu January . Hao baadhi ya wanafunzi nawakumbuka.
Sr. Edigara ametusaidia sn kushona kwakweli, mwl JJ masiga, mwl Tarimo, Msaki, Barongo(RIP) , Mama Mbuya. Yote tisa kumi ni Pale tulipokuwa tunapangwa barabarani wanapokuja viongozi wageni. Au tulupokuwa tunasikia ving'ora vya magari yanayopitisha watuhumiwa wa kesi ya uhaini tulikua tunavisikia sn. Pia kulikua na mambo ya chipukizi, kina Denis Tairo km sikosei walikuwa viongozi. Ile school band ndo usiseme. Mwaka 1984 nakumbuka tulikua tunapewa maziwa , yaani ilikua raha tupu kwakweli.
Ah! Kumbe na wewe ni mmoja kati ya W'funzi wangu?
Embu tujuane vizuri basi!
heheBado yupo???daaah nahis walimu wengine watakuwa wizaran sasa hv.Kulikuwa kuna mwalimu ana mashauz huyo hatar anaiwa Assenga.Ni shidaaaa ilikuwa
Mi nimesoma class moja na Rose Luena hivi yuko wap hyu Rose alikuwa mtemi sana class japo mwanamke
hehe
duuuuh kumbe forodhani tuko wengi humu.....mwalimu asenga alikua anajifanya ana helaa htr..alikua anachapaaa..team kuchapa yeye mwalongo..julius...mwlm minja...nimemiss shingo na chips kwa mangi...ticha mkuu wetu saiwad bonge la handsome full gold...baadae akaingia chuma...najivunia kujua kushona...lol...daah forodhani weee..sitomsahau masudi kwa kuniozesha meno kwa michokoleti yake
Aiseee sijui yupo wapi....ingawa nilikutana nae Makongo.....wakati nipo form three yeye alikuwa ana risit mitihani
mwl julius huyo..ss mimi classmate wa asha.lol....team 2000 la sabaDaaaah sijui ni mwalongo au anaitwa nani....lakin kalikuwa ka kaka tu keusi karefu kanapua ndefu fulan.Ukimuona kama muhaya o mnyarwanda but alikuwa ana rafudhi kama anatokea kaskazin.Ana chapa balaa...mwalimu chuma alikuwa na mtoto wake kama madarasa 2 o 1 alinipita,alikuwa anaitwa Asha.