Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Eeh nimekumbuka bana huyu dada alienichunia USA anaitwa

Anika Boas hope not rip

Mmh nilijitahidi kujieleza nikahisi naitaji extra power kunikumbuka
 
We unamwongelea

MWIJAGE KAZAURA

Mtoto wa RIP BALOZI FULGENCE KAZAURA

CC:Ttcl CEO
 
Huyu yuko arusha anakula mema ya nchi pale EAC
 
Mdigowake yuko Barclays
Strong br"s niliwapenda hawa pamoja babayao alikuwa kwenye system wakiwa utotoni walipenda kujiendeleza wenyewe Mungu azidikuwabariki

Acha masonzo wanaoteseka nowdays wazazi wao wakiwa kwenye system thosedays
 
Mna kumbukumbu nzuri sana. Mimi nilimaliza std 7A hapo mwaka 1988. Ngoja nione km nami nitakumbuka japo wachache. Tulikuwa na Uno Tarimo (RIP) Lenguyana leandri, Albogast Njuu, Ngao Sambera (RIP) Laurian Thadeus , Irene Noa, Tina Riwa, John Riwa, Esuvat Molel na twin wake Nengai (B), Hilda Karau,Joyce Matumula, Milen Ringo, Goa digalo, Hamza Juma, Hidaya (mtoto wa mwl Mohamed) Neema, Jane Panja, Pamela charles, Edward Chelangwa, Bhoke Matiku.
wengine wa madarasa mengine; Nengai king'ori, Wito Shelukindo, Norma Mushema, Ahmed Elmaamary, Sioi Solomon( huyu ndo kaoa binti Lowasa) Rogate Matumla(1986) Sumitra, Japhet Kirita, Carol Kirita, Lulu January . Hao baadhi ya wanafunzi nawakumbuka.
Sr. Edigara ametusaidia sn kushona kwakweli, mwl JJ masiga, mwl Tarimo, Msaki, Barongo(RIP) , Mama Mbuya. Yote tisa kumi ni Pale tulipokuwa tunapangwa barabarani wanapokuja viongozi wageni. Au tulupokuwa tunasikia ving'ora vya magari yanayopitisha watuhumiwa wa kesi ya uhaini tulikua tunavisikia sn. Pia kulikua na mambo ya chipukizi, kina Denis Tairo km sikosei walikuwa viongozi. Ile school band ndo usiseme. Mwaka 1984 nakumbuka tulikua tunapewa maziwa , yaani ilikua raha tupu kwakweli.

hahahahaha safi aise kuna yule kaka mkuu ila mm alinizisi darasa kama matatu alikuwa anaitwa abu nwasi unamkumbuka, ndiyo nakumbuka alikujaga papa john paul wa pili tulipangwa road heheheh
 
Eeh nimekumbuka bana huyu dada alienichunia USA anaitwa

Anika Boas hope not rip

Mmh nilijitahidi kujieleza nikahisi naitaji extra power kunikumbuka

anika hahaha tulikaa naye kino nakumbuka tulikuwa tnarudi wote home
 
Ila mimi nilikuwa bingwa wa kudoeaaaa lifti enzi hizo wanzafunzi wengi walikuwa wanafatwa na magari mimi lift.......
 
anika hahaha tulikaa naye kino nakumbuka tulikuwa tnarudi wote home

Huyohuyo bana tall fulani nilimwona USA Dah weusi wote ymetoka mpwa katakata nikaingiwa na upako wakukumbushana sasa sijui alikuwa na jamaayake dat why
Loh
 
Huyohuyo bana tall fulani nilimwona USA Dah weusi wote ymetoka mpwa katakata nikaingiwa na upako wakukumbushana sasa sijui alikuwa na jamaayake dat why
Loh
hahahaha itakuwa hivyo
 
Huyohuyo bana tall fulani nilimwona USA Dah weusi wote ymetoka mpwa katakata nikaingiwa na upako wakukumbushana sasa sijui alikuwa na jamaayake dat why
Loh
unawakumbuka neema na rehema wale twins dah walisumbuaaaa sana shule wakati kuingiza verse huwezi domo zege mtu ila knw days watoto ahhh balaaaa
 
Huyohuyo bana tall fulani nilimwona USA Dah weusi wote ymetoka mpwa katakata nikaingiwa na upako wakukumbushana sasa sijui alikuwa na jamaayake dat why
Loh

HIVI ZILE RELATIONSHIP ZA FORODHANI

Kuna ilioendeleaaaa
 
unawakumbuka neema na rehema wale twins dah walisumbuaaaa sana shule wakati kuingiza verse huwezi domo zege mtu ila knw days watoto ahhh balaaaa

Loh walikuja kushambuliwa kama mambomu ya Israel Kul mtu anarushalake
 
Ni

Walter MAZULA
Mtoto wa
Rip Capt GEORGE MAZULA
alikuwana kakayake brian
walter tulimuagaaa hapo leaders club msibaa ulikuwa mkubwa nakumbuka
 
Namkumbuka mwalimu Ngido,Msaki,Asha,Kayombo,Kimathi (a.k.a mama Kelvin)
Juice kwa cha upepo pale karibia na geti....siku ya dini jtano tunaelekea st joseph,Sambusa za caritas nazo we acha.
Jamani mwalimu mushi yupo???

dah!mwal Ngido alinifundisha hisabati std one.
 
mnaikumbukaaa elimu supplies pale nyumaa ya shule kulikuwa na vitabu vingi na tofauti ilitusaidia sana.
 
Huyo Damian alikuwa kaka yake na Rose Luena???nae alisoma forodhani

hahaha..dah!rose n paul luena nilikuwa nao darasa moja toka la kwanza.wapi maulid ally,bohora,aman peter,peter malunda,joymaria mazura,emy francis,noel shiyo.dah!mwal onike,kalabo,mushi,chuma
 
Mkuu mrangi
Kuna mmoja mamayakr alikuwa mwl mtoto anaitwa samwel unamkumbuka hope not rip
 
Back
Top Bottom