muonamambo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 879
- 551
Umenikumbusha Mzee Kazibure (RIP), akitoka Kibaha Sec. Kuja ASS kufundisha
Tuition ya Physics! Alidai kuwa alikuwa darsa moja (USA) na mtunzi maarufu wa vitabu vya Physics - Nelkon.
..Mama angu Mlezi Mama Temba..Nilikuwepo
Ezi za Kwayu headmaster
second mistress yule mama aliamia wizarani ..
Discipline master MchwaMpaka
Kwa zamani kweli ilikuwa sifa fulani ..sidhani kama ni anymore..au mimi niko out of touch.Maana naona wazazi wengine hawapeleki tena watoto wao shule hizo japo wamechaguliwa...na pia cha msingi ni matokeo ya mwisho ktk maisha shule ni mwanzo tuu
...hahahahaha..kuna kipindi walibaki tulibaki wenyewe ..ugomvi na jitegemee (don bosco)Wagumu walikua TA (Tambaza), ASS (Azania Soma Sana) walikuwa mabishoo.
...kweli kabisa..hata kichwani si kivileeazania zaman bwana....................siku iz kila mwanafunzi anajitia kabo snoop visuruali vinawabana. hakuna wagumu wala afu wamekuwa vilazaaa.
..Mwalimu Mwachampaka..hebu nitajie walimu 3 wa azania unaowafahamu?
..mkuu nakumbuka hayo matukio..hahaaa namsoma alikua anaitwa YENGELA sijui kama alikua ni Mchaga yule, halafu alikua kila ijumaa lazima aingize Malaya basi sisi tuliokua tunakaa Hosteli tulikua tunasubiri ikifika saa 4 usiku tulikua tunakula CHABO...
..na wengi wao walikua wanajigonga tuTutajie mwaka uliosoma Jangwani kwa kuwa miaka tuliosoma sisi Azania hatukuwashobokea masholi hata kidogo.
..umeona eeh,,mie mwenyewe kuna ID imeandika kitu nahisi tulikua pamojaunajua hisi nickname zetu hizi kwenye JF tunashindwa kujuana.Nahisi kama wewe ni classmeet wangu?
..nishamtoa sana yule viroba double twoo au pale mtaa wa nyamwezi kulikua kuna chimbo moja hiviYengela a.k.a. Chapombe...
Afu yule baba hana mbwembwe, akiishiwa hela hata kangara anapiga kama kawaida.
..hahahahaha..hata nyie mlikua mjajipitisha kuja kujifanya mnaenda hostel ya tambaza..hahahahahalafu walikuwa hawapiti geti lao. Lazima waingilie geti la jangwani washangae visketi ndio waende kwao. Lol. Bora sahivi wamewekewa ukuta wa kuwatenganisha na jangwani.
si utani umenikumbusha hotelini.... cc kwa mkuu wa kambi na so much simple[/QUOTE
Teh tehh Mkuu wa Kambi alikuwa na rafiki yake anaitwa Josephat Kyaruzi...teeeeeehhhh unamkumbuka?
kwayu yipo? na yule mhaya; longtime nilikuwa hostel pale alevel 1992
Dah, basi mie nilisoma Jangwani fomu wani afu nikahamia Azania.
Ilikuwa raha.
azania zaman bwana....................siku iz kila mwanafunzi anajitia kabo snoop visuruali vinawabana. hakuna wagumu wala afu wamekuwa vilazaaa.
Unamkumbuka yule mzee wa kichagga, mwangalizi wa mabweni aliyekuwa anakaa peke yake pale karibu na bweni la O' Level?
Hata jina nilishasahau! Punishment kipindi kile ilikuwa kulisha yale maviti moto karibu na jiko la shule.
We ulisoma azania o level ama a level?Ulimaliza mwaka gani?Ulikuwa darasa gani?Mi nlikua darasa N form 1na 2 na darasa R form 3 na 4..
Mimi nilikuwepo enzi za headmaster:Kisamo.Makumu wake:Mzee Mejja na wakati huo A-level kuna combination ya PCM tu na tulikuwa tunajiita tupo hotelini maana misosi ilikuwa balaaaa.
Namkumbuka Akilimali mtoto wa Kighoma Malima, jamaa alikuwa mtaratibu
Kweli regardless ya High profile ya Dingi yake! Huyu ni kaka yake Naibu Waziri Adamu Malima.
Enzi zile Tz ilikuwa moja, hakuna matabaka, shule za serikali zilikuwa bora hadi nikarudia ili nipasi kwenda govt.
Unakumbuka, pamoja na Akilimali Malima alikuwepo Emmanuel Nyalali, mtoto wa Jaji Mkuu Nyalali ila yeye alikuwa analetwa na kufuatwa na Benz. Unakumbuka kulikuwa na Mchina mtoto wa Balozi wa Korea
Smiling Saint ,Mwl Lyamuya,Mwl Matley,Mwl Kitundu,Mwl Mrope,Mama Mushi,....
Kwayu kastaafu,mkewe mwalimu Muhimbili Primary.. Mwl Muchwampaka amesha..RIP!