jchofachogenda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2012
- 537
- 123
Dah, basi mie nilisoma Jangwani fomu wani afu nikahamia Azania.
Ilikuwa raha.
Wengine hatukufaulu kwenda hizo spesho skul za serikali!:yawn:
Azania haikuwa spesho skuli banaa! Mi nilifaulugi spesho skuli, nilikuwaga na akili, sijui zilienda wapi! Aaaggghhhrrr, bhange haina adabu! Ila nimeacha siku hizi...
Kula bata haihusiani na akili banaa! Ukiangalia vizuri utaona uspesho, na kigezo kilikuwa marks nying za mitihani. Acha wivu basi jamani! Mi nilifaulugi ilboru,lol
Sikuwezi! Kumbe jinsia ulibadili kitambo eh! Ulikuwa mjanja looongi!
Kheee! Kumbe na wewe Kongosho....yaaaalaaah!!!!
Ila unajua nini, yale mafeki jamaa aliyoniuzia yalikuwa ya uongo! La sivyo tungebanana wote Mzumbe😛oa
NN utakuwa professional mchakachuzi.
Ulianza mafeki la saba?
Bora mie nilianza fomu foo.
Nakumbuka miaka ile ya 80s mtu wangu mmoja alikwenda Forodhani kitaa kizima aliheshimiwa!!
I am genetically predisposed to uchakachuzi. Uchakachuzi is in my DNA.
Wagumu walikua TA (Tambaza), ASS (Azania Soma Sana) walikuwa mabishoo.Tulikuwa tunajiita wagumu hivyo masholi wa Jangwani sekondari hatukuwafagilia
Huo ni wivu na roho mbaya,unajifanya hujui kuwa Azania sekondari ilikuwa special school kwa wavulana katika mkoa wa Dar.Ngoja nikukumbushe na kama unabisha kamuulize Kapuya au Mungai mawaziriwetu wa elimu enzi hizo.kwa wasichana walikuwa majirani zetu wa Jangwani.Ili uende Azaboys ulitakiwa kupata maksi 120/150.Sasa nakutajia special nyingine Tanzania kwa enzi hizo.kwa wavulana,Ilboru,Mzumbe,Kibaha,Mkwawa,Tanga technical na Tabora boys.Kwa wasichana,Msalato na Tabora girls.Hizo shule nilizotaja ilikuwa huchaguliwi mpaka upate maksi 140/150 au zaidi.Je una hoja?Azania haikuwa spesho skuli banaa! Mi nilifaulugi spesho skuli, nilikuwaga na akili, sijui zilienda wapi! Aaaggghhhrrr, bhange haina adabu! Ila nimeacha siku hizi...
azania zaman bwana....................siku iz kila mwanafunzi anajitia kabo snoop visuruali vinawabana. hakuna wagumu wala afu wamekuwa vilazaaa.