Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

Mimi huwa nakuta shuka analotandika kitandani limefungwa pande zote ili lisichomoke. Kwahiyo akilala akiamka hamna haja ya kutandika.

Vingine navikuta kama vilivyo, hagusi kitu zaidi ya anapokaa aangalie TV. Hapiki hata chai hadi mbwa anawanunulia chakula.
 
Humkeri mtu tajiri...
Hakuna wa kunipangia Wala kunipigia kelele, burudani tupu, unajua uhuru mtu unakuwa nao unapokuwa peke yako, akiongezeka mwenzako tu huna tena uhuru inabidi uji tune kuendana na mwenzako alivyo, kimbembe mukiwa wote wachafu hapatakalika, kwa mtu ambae kashawahi kuwa kwenye ndoa Kama mimi anaopokuwa hana mke ule uhuru anaokuwa nao akifanya maskhara Mara haoi tena, ndoa zina changamoto nyingi lakini Kama unajielewa utaoa tu maana mwanaume ni majukumu, kuyakimbia ni ufala.
 
Sifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.

Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili ni mwanamke mwenzio.
Kwahy kuwa mchafu n sifa... Usijuvunie ujinga usaf n kwa binadamu wote Haina jinsia , kwahy msipooa mnakuwa wachafu hvyhvy au ndio mnatutupia mzigo wanawake
 
Embu nioneshe binadamu aliyekamilika Kila kitu.... Hata hvyo mm sio mchafu ni vile tu sisi wanaume majukumu yakiwa mengi Kuna mambo tunayapuuzia as long as halivunji heshima kwenye jamnii
Hakuna aliyekamilika lakini uchafuuu yaan mchafuuu aah ndugu yang jitahd uwe msafi ukamilifu wa mtu havihusiani na kuhalalisha uchafu.. kuwa msafi vaa nguo safi kwako pawe pasafi inapendeza aiseee hatakam ww sio wa garama lkn usaf sio garama na kumbuka afya n mtaji ss endeleza uchafu na ujsifie kbsa na uchafu wak uone
 
Kwahy kuwa mchafu n sifa... Usijuvunie ujinga usaf n kwa binadamu wote Haina jinsia , kwahy msipooa mnakuwa wachafu hvyhvy au ndio mnatutupia mzigo wanawake
Maana halisi ya uchafu siyo takataka bali uchafu ni kitu kuwa mahali ambapo siyo sehemu yake. Yaani hata wewe ukienda pale ikulu Magogoni ukasimama bila kazi yoyote, unakuwa uchafu automatically na utaondolewa.

Mada yangu ni kwamba, hulka ya mwanamme halisi ni kwamba huwa hatujali na hatuko makini na vitu vidogo vidogo.

Mifano michache ambayo mwanamme halisi hawezi fanya kwenye nyumba ni kama ifuatavyo.

1. Vyombo vipangwe kwenye kabati na kila aina ya chombo mfano kikombe na sahani kila kimoja kikae sehemu yake kulingana na design yake. Hii kazi hatuwezi ifanya kwa ufasaha, hii ni kazi ya kike.

2. Sebureni kila kiti kiwekewe kitambaa juu yake na vitambaa vimechishe na pazia.

3. Kitanda kimetandikwa vizuri na mito imepangiliwa ikiwa na midoli doli.

Hiyo ni mifano michache ambayo sisi wanaume halisi hatuwezi ifanya kwa ufasaha. Na ukikuta mwanamme ameweza fanya vizuri hayo mambo kwa ufasaha, jiulize uanamme wake mara mbili mbili.
 
Mimi sipendi harufu mbaya, nguo chafu mwanga mdogo wa chumba ila nina tatizo la kuvulia suruali chini yani kuna kipindi nikiingia geto nakuta suruali hata nne chini ila sahiz nimejirekebisha, vyombo sipendi hata kuvishika ila usafi wa nje ya nyumba sijui majani yameota kipumbavu huwezi kuta

Sent from my motorola one macro using JamiiForums mobile app
 
Ninae ndio, muulize mama ako kijana anaemtomber ni nani, atakuambia balaa langu kwa bed.
We mpumbavu coz sijaonaga hii comment tokeapo,


Nasubiri utoke ban nikuonyeshe balaa langu mbwa wewe,. Natangaza vita na wewe, mie sio shoga mwenzio choko wewe.


Na kama una id nyingine jilete fala wewe,,,,
 
Nilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari!

Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule jamaa noma, gamboot na tope zake ndani, soksi juu ya meza, chupa za soda chini ya meza, mabuibui, yaani sio mchezo.

Sasa hapo ni sebuleni, chumbani sijui kulikuwaje! Wanawake mna mchango.
Kuna muda mi najionaga mbona naendekeza kuwa disorganized naanza kujikuta smart, napangilia nguo, nafagia kila nikikanyaga kamchanga ila sasa hata wiki simalizi na huu utaratibu narudi kule kule kwenye kutupa tupa nguo hovyo, kutotandika kitanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom