Kwa waliooa tu: Mke kutime simu na kuikagua

Kwa waliooa tu: Mke kutime simu na kuikagua

Aaah Ziltan kwa hiyo urijali wa mwanaume ndo unapimwa kwa kuchepuka? Mbona marijali wapo na hawacheat. Wewe una michepuko mnoo na mkeo ashakujua ndo maana anakukagua Kila muda. Ukijiamini mbona simu unaiacha tu hapo mezani na hata kuigusa haitoigusa coz atakuwa anakuamini. Usimlaumu kwa nini anakukagua, Acha michepuko then utakuwa na amani na simu yako

acha kusemea wanaume,
yu wapi rijali amabaye hajaw chepuka? Aje akiri mbele ya mbingu na ardhi,
utamu wa mme muwe wanne!!
 
Last edited by a moderator:
mapigo ya moyo huwa yanaenda haraka sana pindi tukio hilo likitokea, na huwa nahisi dalili za kugombana zinakaribia kwasababu hata kama nimerudi kazini tumepokeana kwa furaha kubwa na tunatarajia giza liingie watoto walale tuanze burudani, akianza kukagua simu tu najua usiku huo inawezekana hata tunda tukameka tukiwa tumekunja sura au tuahirishe kabisa. ni shiiidaaa

huyu mwanamke wangu anataka kuwa juu ya mme,
inakera sana.,
 
ahahhahaa safi sana huyo mwanamke mwenzangu,ningekuwa na pesa ningemtumia kwenye M-pesa ajiburudishe na anachokitaka!!angekuwa na hiyo tabia tangu mwanzo wa mahusiano yenu mngefika hapo mlipofika??

Wewe umebadilika kitabia ndio maana dada wa watu na yeye ameamua akulinde kwa nguvu zake ili ndoa yake ibaki salama,baki njia kuu michepuko sio dili,ukiona kero basi acha simu yako yenye manyago ofisini njoo nyumbani msafi!!alaaaa!

soma tena nnlichokiandika
 
Hapa ndipo wanandoa wengi wanapoanguka. Simu imekuwa tatizo kubwa sana baina ya wanandoa. Kama hamuaminiani na akishika simu yako unapata shida, pole sana...ninaamini kabisa(coz I'm living it), mkiwa wazi kwa kila mmoja(hasa swala la simu) hamtakaa mpate shida na kukwaruzana. Kuweni na heshima katika ndoa zenu, nyie ni mwili mmoja so hakuna sababu ya kufichana chochote.

uko Form ngapi?
 
hii thread ni kwa waliooa tu.,
 
Kiongozi, mwanaume rijali ni lazima achepuke? Kwa hiyo kama sichepuki mimi sio rijali?

Ziltan and Eli79 urijali wa mwanaume huanzia kwa akili kama Ziltan unafikiri urijali ni kulala na wanawake wengi hiyo hata mbwa kafanikiwa analala na majike hata idadi yake hajui na ppn ya mbwa inaongezeka kila uchao. Kaa jitathmini kwa nini akufuatilie inamaa hakuna trust kati yenu na kama hakuna ttrust hata love hakuna. So jitathmini vizuri sana kuhusu tabia ukiweza kuchange wewe na ukawa mwaminifu huyo mkeo hatakusumbua
 
refference yako kw binadam ni mbwa?
Pia hongera kwa kuw hujawahi chepuka km umeoa.....
 
Last edited by a moderator:
refference yako kw binadam ni mbwa?Pia hongera kwa kuw hujawahi chepuka km umeoa.....
Binadamu ana akili na utashi ila mbwa hana ila kwa urijali hata mbwa kafanikiwa ili ujitofautishe na mbwa wewe kama binadamu akili ndio inafanya kazi so ukifikiri kulala na kola mwanamke ndio urijali hiyo sio big issue hata wanyama wanaweza
 
nahitaji waliooa sio kuolewa, PLIz!!
 
Last edited by a moderator:
Nahisi kuna post zimefutwa humu. Hali ya hewa ilichafuka nini!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom