Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Mikesho siendi
Hujaacha tabia ya utoro tu? Kesho ntakusemelea kwa tichaa wa darasa
Mikesho siendi
Hii mada ilishafika page zaid ya tano imekuaje! ?
Kwa majibu yako acha mkeo awe mkali coz namuonea huruma sana kuwa na mwanaume wa character hiinahitaji waliooa sio kuolewa, PLIz!!
Tupendane tu...lakini kila mmoja ashike simu yake....ww mke wang yako sishiki nam yangu naomba usishike...full stop
Wee..nan kasema...hakuna kitu kama hiyo #sasa mekua nwili mmoja# chako changu, changu chako..kukagua simu ruksaaa!!
Ni hiv tuendelee tu kuaminiana but kila mtu ashike simu yake...
Wee ZILTAN, ts luk like umevurugwa. Cjui unatumia nn kufikir. Alafu unakuja kulalamika kabisa huku JF, aiseee...i wish mkeo akudunde kabisaa
Kaa naye huyo huyo, unaweza kuoa mwingine ukatamani kurudi ulikotoka, hatupendi kuwa na wajane wengi.
inategemea na staili yako ya maisha, lakini kama hauna baya kwenye hizo cm zako hofu ya nini? ila kama una yako ambayo hautaki yajulikane basi yatafutie line yake. na simu yake ambayo utakuwa unaiacha hukohuko kazini.
Kwa hiyo kuzua zogo kwako ni sawa na kurekebisha?!! Watu huwa mnarahisisha sana mambo aisee.Mkeo analinda masilahi ya familia...... Mie natamani mke apendae kunirekebisha !! Shukuru huyo anajuwa kazi yake. Ziltan Tunza familia yako!
Kuna aina ya simu huwezi kuingia JF usidhani kila mtu ana hizi simu zenu za JFHaukagui simu yake na unajua hayuko Jf!!???
Amekwambia ashaongea naye sana mwanamke haelewi. Haya maisha mwanaume perfect utamtoa wapi? Kwanza hii tabia ya kumchimba sana mwanaume ndio unaweza kusababisha aanze tabia mbaya.Suala la ndoa ni Makubaliano kuishi milele hadi kifo kiwatenganishe. Kubali kuwa mpole kaa chini wawili tu, ongeeeni na mtafikia mwafaka,wewe ni kichwa na kichwa ni utumishi kumbe kuwa simple mliongee. Matatizo yanamalizwa kwa kuongea hakuna njia alternative. Yeye anaonyesha ni mwema na responsible kwako.take care.
Kuna aina ya simu huwezi kuingia JF usidhani kila mtu ana hizi simu zenu za JF
Watu mna hasira!!! We endelea kumkagua huyo shemeji yetu. Hii mada usiijali sana as long as shemeji hana tabu kukaguliwa.Na akague tuuu ikibidi akague na idadi ya sperms ukirudi nyumbani alaaa
Watu mna hasira!!! We endelea kumkagua huyo shemeji yetu. Hii mada usiijali sana as long as shemeji hana tabu kukaguliwa.