Kwa waliooa tu: Mke kutime simu na kuikagua

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,743
Reaction score
7,015
Jamani ninaandika kwa ghadhabu sana juu ya hii tabia ya huyu mwanamke, huyu mwanamke huwa anatabia ya kuchukua simu yangu na kupitia message, call zote na baada ya hapo huanza kusaka namba ambazo hupigwa au kupiga sana na kutukana, tumeingia kwenye migogoro sana na amegombana na watu wengi sababu ya simu tu.

Mi sio malaika jamani lakini kwa tabia hii ninaona ndoa ngumu, maana yake sio siri nakwazika sana kwa namna anavyonichimba na kuleta zogo. Nimejitahidi sana kumkemea lakini imeshindikana, haya sio maisha kabisa kwangu na kila akiibua zogo ndo nazidi kumchukia na kuingiwa na mawazo mabaya, mke sina haja naye hata tukitengana ni vizuri nina miaka 30 yeye 31, ndoa ina miaka kumi na tuna mtoto mtoto mmoja.

Naombeni ushauri kwa faida ya huyu mtoto
.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Ziltan

Tatizo ni lako wewe.Kwani hukujua kama mke wako anakuzidi mwaka mmoja?Pia siku zote ukiona mke wako anakuwa na mashaka na simu yako basi unatakiwa kutafakari mienendo yako huenda ikawa na michepuko.

Wewe mwenyewe ndiye unayetakiwa kumsaidia mkeo akuamini kama wewe ni muaminifu kama kweli ni muaminifu.Huyo ndiye mkeo umeishi nae miaka 10, umemharibu mkeo halafu unatamani wake za watu.Acha tamaa ya uzinzi satan is on you be careful.
 
Last edited by a moderator:
Kaa naye huyo huyo, unaweza kuoa mwingine ukatamani kurudi ulikotoka, hatupendi kuwa na wajane wengi.
inategemea na staili yako ya maisha, lakini kama hauna baya kwenye hizo cm zako hofu ya nini? ila kama una yako ambayo hautaki yajulikane basi yatafutie line yake. na simu yake ambayo utakuwa unaiacha hukohuko kazini.
 
Mkeo analinda masilahi ya familia...... Mie natamani mke apendae kunirekebisha !! Shukuru huyo anajuwa kazi yake. Ziltan Tunza familia yako!

ukimchunguza kuku humli,
hii ni too much,
natambua sana wajibu wangu,
kwa hali ya kawaida hajaona matatizo,
anaamua kuyachokonoa kwa udi na uvumba, this is not fair
 
Last edited by a moderator:
Kaa naye huyo huyo, unaweza kuoa mwingine ukatamani kurudi ulikotoka, hatupendi kuwa na wajane wengi.
inategemea na staili yako ya maisha, lakini kama hauna baya kwenye hizo cm zako hofu ya nini? ila kama una yako ambayo hautaki yajulikane basi yatafutie line yake. na simu yake ambayo utakuwa unaiacha hukohuko kazini.
simu zangu zote ntatembea nazo ppte.
Km we ni Me basi hujaoa.
Achana na hii mada.
 
Suala la ndoa ni Makubaliano kuishi milele hadi kifo kiwatenganishe. Kubali kuwa mpole kaa chini wawili tu, ongeeeni na mtafikia mwafaka,wewe ni kichwa na kichwa ni utumishi kumbe kuwa simple mliongee. Matatizo yanamalizwa kwa kuongea hakuna njia alternative. Yeye anaonyesha ni mwema na responsible kwako.take care.
 
Na akague tuuu ikibidi akague na idadi ya sperms ukirudi nyumbani alaaa
 
Mimi nafikiri tatizo liko kwako,je tatizo hili lilikuwa awali kabla hamjaoana??je kuna hali ya mashaka iliyodhibitishwa kwako??
 
Suala la ndoa ni Makubaliano kuishi milele hadi kifo kiwatenganishe. Kubali kuwa mpole kaa chini wawili tu, ongeeeni na mtafikia mwafaka,wewe ni kichwa na kichwa ni utumishi kumbe kuwa simple mliongee. Matatizo yanamalizwa kwa kuongea hakuna njia alternative. Yeye anaonyesha ni mwema na responsible kwako.take care.

huyu ni king'ang'anizi kama mchawi,
pia kwa kuwa anachangia hela ya mezani, yaan ni shida mfungwa
 
Last edited by a moderator:
Hehe mkuu kwani unatumia simu gani..... Kama smartphone dawa ipo. Unaweza kuitia ma lock kila uchochoro. For privacy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom