I thought you would understand something called privacy better!!Kama humo kwenye simu hakuna baya la kuficha sioni kwa nini iwe tatizo yeye kuiangalia (wewe unasema kuikagua) hiyo simu.
I thought you would understand something called privacy better!!Kama humo kwenye simu hakuna baya la kuficha sioni kwa nini iwe tatizo yeye kuiangalia (wewe unasema kuikagua) hiyo simu.
Yeah mimi ni msemaji wake.Wewe msemaji wake?
Hornet acha hasira hapa tunajadili changamoto tu hakuna haja ya kugombana. Ujue jamaa kashasema hata yeye ana mapungufu na amekuja hapa kuomba ushauri. Kumshushua haisaidii sana.Naona unamsemea kwa nguvu zote
Maelezo yako mazuri ila kumbuka kuna wanawake wana gubu ni balaa. Kama umewahi kuwa na mwanamke wa aina hyo ndio utaelewa ila kama umejaaliwa mwanamke mtulivu hana vurugu za kijinga jinga ni rahisi sana kuandika haya uliyoandika.Kwa jinsi ulivyo jieleza inatosha kutambua kuwa mwenye matatizo siyo mwanamke ila ni wewe baba mwenzangu,sidhani kama wife wako hajawah kukutana na sms au callng ambazo hazieleweki akatukana watu sio kweli..Tumekuwa tukiwalaumu wanawake katika ndoa mara nyingi bt matatizo mengi source ni ss wanaume, na wanawake ni mara chache...Ndani ya miaka 10 ndani ya ndo si haba mmejitahidi ila wewe kuna sehem umeshikwa dats why ss hv unamuona hafai ila unalea motto sio haki hata kidogo,,,Fanya hivi acha kuwasiliana na watu ambao unajua ni source ya matatizo mfn Michepuko,na wale wa muhim piga mbele yake ili kuondoa huo utata...hapo kuna kitu...mpende na endelea kumuenzi hiyo sio sababu ya kumchoka au kumuacha analinda kibarua chake[ndoa]
Aisee kumbe una michepuko kweli?! Sasa kwa nini unachepuka? halafu kama ushajua unataka kuchepuka na mkeo atakagua simu kwa nini utumie simu hiyo hiyo moja??!!Nnahisi humu watu ni wanafiki sana hasa Me au ni Ke wanaotumia majina ya ki - Me,
nimesema mi sio malaika ,
nnaishi kwa kumheshimu huyu mwanamke,
lkn yy ananichokonoa balaa,
wkt mwingine hata akinikuta nnaongea na simu huwa anataka aje kusikiliza.,
yaan ana wivu mbya,
Mwanaume gan rijali hajawahi kuchepuka?
Mnatoa ushauri kwa kuwa nyie simu mnaziacha ofcn ee?
Maelezo yako mazuri ila kumbuka kuna wanawake wana gubu ni balaa. Kama umewahi kuwa na mwanamke wa aina hyo ndio utaelewa ila kama umejaaliwa mwanamke mtulivu hana vurugu za kijinga jinga ni rahisi sana kuandika haya uliyoandika.
Inawezekana hata mimi sijajua.Sijui umeamua kubadilisha ID😱
I thought you would understand something called privacy better!!
I depends. Who said this guy considers his wife his better half? Different people have different perception of wives. You might think it is required for a wife to know everything about their husbands but some people would disagree.Privacy from your better half? That is lunacy.
I depends. Who said this guy considers his wife his better half? Different people have different perception of wives. You might think it is required for a wife to know everything about their husbands but some people would disagree.
pole sana.Ijapokuwa sijaolewa lakini kwa uzoefu wangu&utafiti wa maisha ya ndoa ni kwamba ni marufuku kwa mwanamke kushika&kukagua simu ya mumewe!
Ziltan
Yaelekea umebadilika ndo mana anakuwa. Na waswas na mwenendo wako.
Hiyo tabia kaianza lini tangu mmeoana au juzjuz? Jitahid kumheshim mkeo pia sion sbb ya kuoa mke mwingine kisa cm. Nakushaur ongeza mtoto wa pili acha mawazo ya kuoa mke mwingine .
I thought you would understand something called privacy better!!