Kwa jinsi ulivyo jieleza inatosha kutambua kuwa mwenye matatizo siyo mwanamke ila ni wewe baba mwenzangu,sidhani kama wife wako hajawah kukutana na sms au callng ambazo hazieleweki akatukana watu sio kweli..Tumekuwa tukiwalaumu wanawake katika ndoa mara nyingi bt matatizo mengi source ni ss wanaume, na wanawake ni mara chache..
.Ndani ya miaka 10 ndani ya ndo si haba mmejitahidi ila wewe kuna sehem umeshikwa dats why ss hv unamuona hafai ila unalea motto sio haki hata kidogo,,,Fanya hivi acha kuwasiliana na watu ambao unajua ni source ya matatizo mfn Michepuko,na wale wa muhim piga mbele yake ili kuondoa huo utata...hapo kuna kitu...mpende na endelea kumuenzi hiyo sio sababu ya kumchoka au kumuacha analinda kibarua chake[ndoa]