Kwa waliooa tu: Mke kutime simu na kuikagua

Kwa waliooa tu: Mke kutime simu na kuikagua

Ziltan

Skia mkuu mimi ni mshauri wa masuala ya ndoa kwa vitendo. Mkalishe chini mwambie muaminiane na hautaki kelele wala migogoro ndani ya familia, mwambie binadamu tunategemeana na phone book yako hainabudi kuwa na majina ya jinsia zote mbili maana hili linakuja lenyewe kutokana na mtafutano ktk kuisaka riziki.
 
Last edited by a moderator:
Nnahisi humu watu ni wanafiki sana hasa Me au ni Ke wanaotumia majina ya ki - Me,
nimesema mi sio malaika ,
nnaishi kwa kumheshimu huyu mwanamke,
lkn yy ananichokonoa balaa,
wkt mwingine hata akinikuta nnaongea na simu huwa anataka aje kusikiliza.,
yaan ana wivu mbya,
Mwanaume gan rijali hajawahi kuchepuka?
Mnatoa ushauri kwa kuwa nyie simu mnaziacha ofcn ee?

Aaah Ziltan kwa hiyo urijali wa mwanaume ndo unapimwa kwa kuchepuka? Mbona marijali wapo na hawacheat. Wewe una michepuko mnoo na mkeo ashakujua ndo maana anakukagua Kila muda. Ukijiamini mbona simu unaiacha tu hapo mezani na hata kuigusa haitoigusa coz atakuwa anakuamini. Usimlaumu kwa nini anakukagua, Acha michepuko then utakuwa na amani na simu yako
 
Last edited by a moderator:
Ziltan

mapigo ya moyo huwa yanaenda haraka sana pindi tukio hilo likitokea, na huwa nahisi dalili za kugombana zinakaribia kwasababu hata kama nimerudi kazini tumepokeana kwa furaha kubwa na tunatarajia giza liingie watoto walale tuanze burudani, akianza kukagua simu tu najua usiku huo inawezekana hata tunda tukameka tukiwa tumekunja sura au tuahirishe kabisa. ni shiiidaaa
 
Last edited by a moderator:
Nnahisi humu watu ni wanafiki sana hasa Me au ni Ke wanaotumia majina ya ki - Me,
nimesema mi sio malaika ,
nnaishi kwa kumheshimu huyu mwanamke,
lkn yy ananichokonoa balaa,
wkt mwingine hata akinikuta nnaongea na simu huwa anataka aje kusikiliza.,
yaan ana wivu mbya,
Mwanaume gan rijali hajawahi kuchepuka?
Mnatoa ushauri kwa kuwa nyie simu mnaziacha ofcn ee?

ahahhahaa safi sana huyo mwanamke mwenzangu,ningekuwa na pesa ningemtumia kwenye M-pesa ajiburudishe na anachokitaka!!angekuwa na hiyo tabia tangu mwanzo wa mahusiano yenu mngefika hapo mlipofika??

Wewe umebadilika kitabia ndio maana dada wa watu na yeye ameamua akulinde kwa nguvu zake ili ndoa yake ibaki salama,baki njia kuu michepuko sio dili,ukiona kero basi acha simu yako yenye manyago ofisini njoo nyumbani msafi!!alaaaa!
 
Aiseee ndo maana sikupenda kuwa na mahusiano na watu ninaolingana nao umri
 
Ziltan

mkuu hiyo mbona kawaida kwenye ndoa..dawa ni kuwa makini futa sms na calls zote before ujarudi nyumbani.au ukishindwa kuwa na line special
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndipo wanandoa wengi wanapoanguka. Simu imekuwa tatizo kubwa sana baina ya wanandoa. Kama hamuaminiani na akishika simu yako unapata shida, pole sana...ninaamini kabisa(coz I'm living it), mkiwa wazi kwa kila mmoja(hasa swala la simu) hamtakaa mpate shida na kukwaruzana. Kuweni na heshima katika ndoa zenu, nyie ni mwili mmoja so hakuna sababu ya kufichana chochote.
 
Mkeo analinda masilahi ya familia...... Mie natamani mke apendae kunirekebisha !! Shukuru huyo anajuwa kazi yake. Ziltan Tunza familia yako!

Tofautisha maana ya kukurekebisha na ujinga anaofanya huyu mwanamke
Let's say umemsave boss wako au mtu unayefuatilia kufanikisha million dollar deal kwa jina Linda donney(nependa kusave number kwa jina kamili)
Then mkeo kakuta umempigia na kupigiwa karibu mara ishirini within a day na that number
Without knowing she just call her na kumtukana what will happen then?is that kukurekebisha?think better dude
 
Last edited by a moderator:
"Mke sina haja naye"

sasa ushauri upi tena unautaka mkuu
 
That is marriage in disguise. Tatizo liko wapi kukagua? Mimi nina access na simu yake, yeye ana access na simu yangu. Tatizo kuna mambo unaficha ndiyo maana unapata shida. Huhitaji kuvunja ndoa kwa sababu ya simu. Ukivunje ndoa kwa sababu ya makahaba.
 
ukimchunguza kuku humli, hii ni too much,
natambua sana wajibu wangu, kwa hali ya kawaida hajaona matatizo,
anaamua kuyachokonoa kwa udi na uvumba, this is not fair

Ana wivu sana atapata pressure bure
 
Nnahisi humu watu ni wanafiki sana hasa Me au ni Ke wanaotumia majina ya ki - Me,

nimesema mi sio malaika ,

nnaishi kwa kumheshimu huyu mwanamke,

lkn yy ananichokonoa balaa,

wkt mwingine hata akinikuta nnaongea na simu huwa anataka aje kusikiliza.,

yaan ana wivu mbya,

Mwanaume gan rijali hajawahi kuchepuka?

Mnatoa ushauri kwa kuwa nyie simu mnaziacha ofcn ee?

Kiongozi, mwanaume rijali ni lazima achepuke? Kwa hiyo kama sichepuki mimi sio rijali?
 
Bora ye anashika na kukagua wenzie Hua hatugusiii kabisa simu
 
muache akague mali yake bana..na wewe kitulize usijihusishe na charting zisizo kuwa na tija kwako..mpende mkeo acha ubazazii

zina tija ... We subr uone
 
kunautofauti gani na uliyepishana naye umri hasa katika swala hili?

Uliemzidi angalau ukimwelewesha anaelewa. Hawa wakubwa wenzako ukiwambia wanaona unawadharau
 
Skia mkuu mimi ni mshauri wa masuala ya ndoa kwa vitendo. Mkalishe chini mwambie muaminiane na hautaki kelele wala migogoro ndani ya familia, mwambie binadamu tunategemeana na phone book yako hainabudi kuwa na majina ya jinsia zote mbili maana hili linakuja lenyewe kutokana na mtafutano ktk kuisaka riziki.

Ni kweli Mkuu Kete ngumu maisha yanahitaji interaction,
mfano wiki jana kamtukana dd mmoja katokea kunielewa sana na anazo mbaya anasimamia maduka 2 mazito,
nnlikuwa nimemweka sawa anitumie Laki 5,
lakn huyu mwanamke sijjui alichukua no ake muda gan akamtukana sana na kumtishia mbaya,
huyo dd tushapima na tuko safi maisha yanaendelea...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom