Kwa waliooa tu: Mke kutime simu na kuikagua

Kwa waliooa tu: Mke kutime simu na kuikagua

Madhara ya kukagua simu,
ni mengi sana, ntayaeleza hapa
 
Nnahisi humu watu ni wanafiki sana hasa Me au ni Ke wanaotumia majina ya ki - Me,
nimesema mi sio malaika ,
nnaishi kwa kumheshimu huyu mwanamke,
lkn yy ananichokonoa balaa,
wkt mwingine hata akinikuta nnaongea na simu huwa anataka aje kusikiliza.,
yaan ana wivu mbya,
Mwanaume gan rijali hajawahi kuchepuka?
Mnatoa ushauri kwa kuwa nyie simu mnaziacha ofcn ee?

Kuchepuka ndo kunasadifu urijali wako?
 
Fine.

Different strokes for different folks.

To me it's still lunacy to hide stuff from your better half.

And it's a travesty of the whole concept of oneness.
Well to some people marriage has nothing to do with oneness. I don't know why the assumption that marriage supposedly joining the two people involved into one is considered to be a universal phenomenon somehow!:nono::nono::nono: As a matter of fact to some the concept of better half is completely foreign. To them a wife is just a woman with special responsibilities towards her husband PERIOD.
 
Well to some people marriage has nothing to do with oneness. I don't know why the assumption that marriage supposedly joining the two people involved into one is considered to be a universal phenomenon somehow!:nono::nono::nono: As a matter of fact to some the concept of better half is completely foreign. To them a wife is just a woman with special responsibilities towards her husband PERIOD.

But I am not commenting from the perspective of those 'some people'

I am commenting from the perspective of me and other like minded folks who still transgress even after taking the vows.
 
Tupendane tu...lakini kila mmoja ashike simu yake....ww mke wang yako sishiki nam yangu naomba usishike...full stop

Hayo si maisha ya Mke na mume wa ndoa, labda kama ni kimada. Kwa nini msiaminiane? Kuna nini kwenye hizo simu zenu mpaka muwekeane marufuku ya mmoja kugusa ya mwenzake? Hata hainogi. Yangu iko free hata jirani akitaka anachukua seuze mume!
 
Mkuu samahani, unaposema 'kwa waliooa tu:...' una maana kwa walioolewa wasipitie huu uzi na kukupa ushauri? Na vipi kwa wasiooa au kuolewa lakini wakawa na uwezo mkubwa wa kukupa ushauri?? Naona kama umeji-limit kupata msaada!
 
Mkuu Nahisi umeshaona wapi makosa yalipo.Ili kukomesha tabia hii bora umpe uwaminifu wako na kisha umjengee imani ya upendo ka kujali ndoa yako.
Hakikisha simu yako unaweka aplication za ku lock :sms -call log na dialing pad.
ili uweze kulinda mapenzi yako na mtoto wako hata hivyo tunatakiwa kijitoa fahamu ili kulinda ndoa zetu.ila kama ugonvi unazidi kukua basi ujue tayari uo mke yakoameathirika na gonjwa la Wivu..........Hapo hamna ushauri utapo eleweka ......
 
pole sana.Ijapokuwa sijaolewa lakini kwa uzoefu wangu&utafiti wa maisha ya ndoa ni kwamba ni marufuku kwa mwanamke kushika&kukagua simu ya mumewe!

kumbee....!!??? ishakuwa sheria au bado ni mswada...
 
Kama inatumia operation system android download kitu inaitwa locx unaweka password haji jf Facebook etc weka password kila kitu
 
mkuu Hilo lilinitokea Sana Kila siku ugomvi ukawa hauishi Hadi nilipotia kufuli app za muhimu Kama vile call, go sms ni, kizuri zaidi upande wa go sms kuna private box ambapo nimechambua maadui zake woote nikawatupia huko so Kila sms wanayonitumia inaingia huko na huwezi kuisoma lazima utie password, sms za kawaida ataziona lakini hizo zingine no
 
Hakuna kinachonikare kama hicho. Mke wangu anawapigia hata viongozi wa dini akidhania ni wapenzi wangu. Huu ni wivu wa kipuuzi
 
Sioni tatizo kwa hilo, wacha atumie, kwanini hujiamini???
 
Wanaume wa cku hz hawana maamuzi binafsi mpaka waje jf
Ndo mana hata mkeo aheshimu simu yako anaona upo upo tu.
Sasa suala dogo kama hilo unalia unaona ndoa chungu na waliogundua watoto sio wao wafanyaje?
Be a man kaa na mkeo muongee mliwezaje kukaa miaka kumi yote hiyo
au unatafuta visingizio umepata mwingine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom