Kwa wale wasio na...

Kwa wale wasio na...

Last edited by a moderator:
Kuna mganga fulani huku Tanga anatoa dawa ya kurekebisha mambo yako...

Naomba uwasiliane na Smile au Zion Daughter wakusindikize...

By the way.....fanya jitihada leo iwe zamu yako kumbeba mzee akirudi kwa job, ...kama weight amekuzidi sana, omba wenye maguta wakusaidie ili lengo lako litimie...

Best wishes,

Babu DC!!

Hahahahahahahaaaaaaa! Babu Dc , umenifanya nicheke sana, umejuaje, kama amenizidi uzito tena pamoja na urefu , haya mm nitamuwezea wapi wakati mimi ni si mrefu sana. Hapo unanidanganya unataka nivunjike kiuno.
Ila Leo kwa kweli kuna kitu nimemwandalia Kizuriiiiiiiiiiiii ambacho hatoamini macho yake. Naomba Mungu akifurahie.!
 
Kweli kabisa Kongosho...mwanamke na aibu ni mapacha...

Umenikumbusha kaneno alinambia Bibi juzi, eti....."Mwanamke manyonyo kwani makalio hata wanaume wanayo...lol"!!

Babu DC!!

Bibi mtundu, uje unialike tufundishane mambo ya vijana ya akina madame B, ya sriisam

Duuu.Aibu hizi umeanza lini?? Kuna mtu kaiba pasiwedi yako..Lakni najua hapa unazuga tu kwa Asprin na Dark City .
Unayemuadimaya ni..... sio mwingine ila niiiiiiii.. Invisible
Sometimea wanawake ni wajanja
Huwa hawasemi wazi wanam-adimaya nani
Kama anamtania tania kumbe anasubiri mwenzie ajiongeze, hujui hilo

Afu huyo wa mwisho si ataniban nikimfungukia jamani?

Hata mimi najiandaa kumfungukia mtu this time next year....!!

Najua pensheni itakuwa inakaribia kuisha....

Babu DC!!
Am waiting....
Hatimaye.:glasses-nerdy:
 
Last edited by a moderator:
Am torn between 2babuz and 1 serengeti King'asti is my witness:shut-mouth:

Usiogope..Hii thread leo ni ya kusema yaliyo moyoni.Na isitoshe siku ya leo sio ya kupeana ban ni ya kusameheana na kupendana..Mie nimekurahisishia wewe malizia...
 
Last edited by a moderator:
Bibi mtundu, uje unialike tufundishane mambo ya vijana ya akina madame B, ya sriisam

Sometimea wanawake ni wajanja
Huwa hawasemi wazi wanam-adimaya nani
Kama anamtania tania kumbe anasubiri mwenzie ajiongeze, hujui hilo

Afu huyo wa mwisho si ataniban nikimfungukia jamani?

Am waiting....
Hatimaye.:glasses-nerdy:

Hapo sasa ndo umechafua hali ya hewa...

Nalog off....

Muwe na V day njema....

Babu DC!!
 
Kwa wale single ladies ambao wamedoda hadi muda huu natoa nafasi ya upendeleo hadi saa 10:00 jioni. Baada ya hapo ntakuwa na mamsap wangu kuikamilisha siku ya mapendeko viwanja fulani hivi. Kwahiyo kuna maa sita tu ya kujiondoshea upweke. lol

mwaJ na Zion Daughter msiisome hii comment, na kama mmeisoma naomba mpite kimya kimya.
 
Hivi 40 tayari zimekwisha??

Happy V day and best wishes wa Poti!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom